Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,451
- 16,340
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha.
Dkt. Kihamia anachukua nafasi ya Dkt. Edwin P. Mhede ambaye uteuzi wake umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine.
2. Amemteua Bw. Musa N. Kuji kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA). Bw. Kuji alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
Zuhura Yunus1. Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha.
Dkt. Kihamia anachukua nafasi ya Dkt. Edwin P. Mhede ambaye uteuzi wake umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine.
2. Amemteua Bw. Musa N. Kuji kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA). Bw. Kuji alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
Soma UDART mnakwamisha maendeleo