Utengenezaji wa movie umerahisishwa sana na hii iphone 13

Wewe ni zero

Jiulize ni kwanini makampuni yanaendelea kutoa matoleo mapya kila siku
zero n ww usie na akil za kuchambua mambo, wao wako kibiashara zaid hawajar wew unamilk kifaa gan kinacho kidhi mahitaj yak au una uwezo gan, wao wanaangalia pesa tu, that's why matoleo ya sim yanaibuka kila leo, lengo ni kuwatunza wateja wao na mashabik wa bidhaa zao , full stop, izo sabbu zingne hazimake sense, ndiomaana hilo toleo halina utofaut sana na toleo lililopita.hi pia ni sabbu inayowafanya makampuni ya tecno& infinix kukua sabbu ya kuachia bidhaa kila baada ya muda, na kutoachia gap la makampun mengine kukiki zaidi

biashara ni ujanja, ndiomaana watu waelewa hutowaona wakipalangana na izo kelele za matoleo mapya, maana unajua ukishamilki kifaa fulan chenye uwezo unao hitaj, sasa hay mengine ya nn? kama apps zipo playstore zakila aina sas shda mnayo ninyi washamba na wauza sura
 
Hakuna app kama hiyo, huwezi kupiga picha maneno(words) bali maandishi(text) na kisha ubadili kwa hiyo ocr kuwa word document. Kwa habari ya maneno ( words au matamkwa)kwa word document, lazima uwe na app ya speech to text converter na urekodi au udictate maneno hayo si upige picha.
acha ubishi, mi natumia note 9 mwaka wa pili huu na hio function ipo unapiiga picha ina extract maandishi pia inaweza kutafsiri kwenda lugha utakayochagua. hii function ya kuextract word toka kwa picha ipo kwa android long tu
 
Back
Top Bottom