mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,017
- 3,038
Hivi nani aliibua mchakato wa vazi la taifa? Uliishia wapi?
AU yule aliyeshauri vitambulisho vya NIDA, vina tija gani kwa sasa?
KUNA waziri alisema tiketi zipatikane kwa njia ya mtandao sijui aliishia wapi
USAFI kila mwezi je?
Mchungaji Mtikila aliwahi sema nchi hii haiwezi kuendelea sababu viongozi wake wote wanaumwa.