Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,422
- Thread starter
- #21
Cute little thing. . . katoto mpaka kanajali hisia/mahitaji na matakwa ya watu wengine?I'm impressed.Kungekua na watu wengi waliojengeka hivyo matatizo mengi sana yanayosababishwa na ubinafsi yangepungua kama sio kuisha.NK, i lov the lil boy! Aki-admire kitu ukamuambia just take it anasema hapana, u have it. I can't just take it coz u also deserve good things. What a character! Kuna watu wabinafsi wanajiskia kama hustahiki kitu ulichonacho japo u earned it!
Lizzy,nikujibu kuhusu ulemavu na elimu! Banaa,mi nikiona albino ama mkaka ana mkono mmoja anauza anything nisichokitaka kwenye foleni, huwa nampa buku! Hata sihitaji kupeleka mazagazaga kwangu, na namuambia wazi kua nampa soda kwa kujituma! Wale wamama walemavu wanaosota na foleni kutwa wakiomba, ingekuaje wangekua wanatembeza urembo ama vitabu vya watoto? Wouldn't u buy hata for friends ili kuwaungisha! Kama umejikuta stranded mjini ama ulaya, ungeweza kufagia McDonald's na kupata mshiko,kwanini uangalie white collar jobs wakati huna collar! Utegemezi ni tabia,the only reason mtu ambae sio tegemezi ataomba ni chakula na matibabu tuu! Hata kuomba vocha ni utegemezi!
Kuhusu kuwasupport watu wanaojituma niko na wewe wifi. Mtu akiwa anajishughulisha anakurahishia/lainisha moyo wako na wewe umsaidie. Mi hata wale vijana vijana wanaobeagabebeaga watu mizigo yao pale soko kuu hua nawamaind sana. Hata kama nlichonunua naweza kubeba sioni uchungu kumpa mmoja wao ili nikimaliza nimrushie mia tano nae apate breakfast siku inayofuatia.
Kuhus vocha. . . . hehehe hilo ni janga la kitaifa asiee. Wengine hata nchi za watu bado wanaomba vocha.