Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,274
- 102,453
Inawezekana hujaona namna Wakenya wanavyoenjoy kuwepo sheria ya kuunganisha vyama, bado huelewi vizuri.Mkuu sheria inaweza isiruhusu kuunganisha vyama moja kwa moja, lakini hilo haliwezi kuwa tatizo. Tunapoongelea vyama kuungana kimsingi tunamaanisha vyama kujiua na kuungana katika kuanzisha chama kimoja.
Nasa ni muungano wa vyama kama ilivyo Jubilee.
Huu ni mfumo mzuri sana kwa nchi zetu hizi changa.