Utawala wa Rais Magufuli ni dalili ya wakati muafaka kwa Vyama vya Upinzani kuungana na kuwa chama kimoja

Mkuu sheria inaweza isiruhusu kuunganisha vyama moja kwa moja, lakini hilo haliwezi kuwa tatizo. Tunapoongelea vyama kuungana kimsingi tunamaanisha vyama kujiua na kuungana katika kuanzisha chama kimoja.
Inawezekana hujaona namna Wakenya wanavyoenjoy kuwepo sheria ya kuunganisha vyama, bado huelewi vizuri.

Nasa ni muungano wa vyama kama ilivyo Jubilee.

Huu ni mfumo mzuri sana kwa nchi zetu hizi changa.
 
Shida ya wabongo itakuja kwenye ruzuku na nani asimame kuwa mgombea
Kukiwa na system nzuri, ruzuku sio tatizo tena, kwa kuwa sio muungano kama wa UKAWA na hakuna individuality ya kichama. Suala la nani awe mgombea linapaswa liainishwe kwenye katiba - wanaweza hata kusema anaekuwa mwenyekiti wa kuchaguliwa na mkutano mkuu ndie anapewa nafasi ya kwanza ya kuwa mgombea, na kuzuia wale wagombea ad hoc wa kuhama CCM kwa ajili ya kutaka kugombea uraisi kwa chama kingine.
 
Inawezekana hujaona namna Wakenya wanavyoenjoy kuwepo sheria ya kuunganisha vyama, bado huelewi vizuri. Nasa ni muungano wa vyama kama ilivyo Jubilee.
Huu ni mfumo mzuri sana kwa nchi zetu hizi changa.

Kweli. Ila sikujua Tanzania vyama haviruhusu kuungana. In that case muungano huu can only be possible wakati wa uchaguzi ili watu wasipoteze nafasi zao za ubunge
 
Kwel bwana inabid waungane kidogo tunaweza ona hata hili jengo linarekebishwa
837d440e51eb67956e03b2832d8f8a1a.jpg
 
Kuna filosofia ya kuunganisha makundi ya watu hata wasiopatana inayoitwa "uniting to face a common enemy" ambayo hutumika sana katika mambo ya utawala.

Nina ushauri mmoja kwa Chadema na vyama vyote vya upinzani nchini, kwamba huu utawala wa Raisi Magufuli katika awamu ya tano ya uongozi na iwe kichocheo kikubwa kwenu kuweka tofauti zenu pembeni na kuwa chama kimoja cha upinzani nchini ili kukabiliana na Raisi Magufuli na chama chake cha CCM. Chadema kama chama kikuu cha upinzani lifanyeni hili kwa busara na hekima.

Raisi Magufuli na CCM wamekuwa mwiba mchungu kwenu nyote watu wa upinzani, tumieni nafasi hiyo kama factor ya kuwaunganisha pamoja. Mkiwa hamjaungana, angalieni wanavyowafanyaChadema. Angalieni wanavyowafanya ACT. Angalieni walivyowafanya CUF. Angalieni walivyowafanya TLP, nk.

Raisi Magufuli anatumia kuendelea kwenu kutokuwa kitu kimoja kuwabomoa na kuwadhoofisha, mara nyingine hata akipandikiza migongano kati yenu kwa kumsifia huyu na kumkashifu yule, na hata kuwateua baadhi yenu au kuwatia ndani bila sababu za msingi akijua hamna nguvu ya pamoja.

Angalieni kwamba mkiungana sasa mtakuwa na nguvu kubwa sana ya kukabiliana na Raisi Magufuli na chama chake CCM, na sauti yenu itakuwa kubwa zaidi ndani na nje ya nchi. Magufuli na CCM wataanza kuwaogopa. Msipoungana katika muda huu wa utawala wa Magufuli, kuna baadhi ya vyama vyenu na viongozi wenu mtadhoofika huenda hata kufa kisiasa.

Sasa ni wakati muafaka wa vyama vya upinzani nchini kuungana, angalau hata kuongea juu ya kuungana kuwa chama kimoja chenye nguvu. Sahau UKAWA, wekeni ubinafsi pembeni (self interest) unganeni na kunzisha chama kimoja cha siasa.
Unamfahamu Mzee DUNI? Muulize kuna nini CHADEMA labda atakusaidia kukujibu KAMBALE wa masharubu ni wengi hivyo hili wazo ni zuri lakini halitafanikiwa na believe me or not come 2020 CCM itakua ngangari kuliko upinzani. Mimi umri wangu ni mkubwa nimeona mengi kuliko haya yakitokea na wakati tulijua kabisa CCM itakufa maana hata Nyerere aliataka kuisusa lakini miaka zaidi ya 20 imepita bado inapeta.........

Kama CCM ilipigwa vijembe mpaka na Baba wa Taifa na kuiita siyo ya mama yake wewe ni nani kumzidi muanzilishi wake????

Time will tell.
 
So swali la kipumbavu linajibiwa na huo uharo?
Kuna bwana mmoja nilisomanae primary anaitwa Douglas...alikuwa wa mwisho darasani, daily....bila shaka utakuwa ni wewe

Sijawahi kusoma na machoko kama wewe. Ukileta hoja za kipumbavu lazima ujibiwe kipumbavu tu. Katafute mabasha wakunyooshe choko wewe.
 
Kuna filosofia ya kuunganisha makundi ya watu hata wasiopatana inayoitwa "uniting to face a common enemy" ambayo hutumika sana katika mambo ya utawala.

Nina ushauri mmoja kwa Chadema na vyama vyote vya upinzani nchini, kwamba huu utawala wa Raisi Magufuli katika awamu ya tano ya uongozi na iwe kichocheo kikubwa kwenu kuweka tofauti zenu pembeni na kuwa chama kimoja cha upinzani nchini ili kukabiliana na Raisi Magufuli na chama chake cha CCM. Chadema kama chama kikuu cha upinzani lifanyeni hili kwa busara na hekima.

Raisi Magufuli na CCM wamekuwa mwiba mchungu kwenu nyote watu wa upinzani, tumieni nafasi hiyo kama factor ya kuwaunganisha pamoja. Mkiwa hamjaungana, angalieni wanavyowafanyaChadema. Angalieni wanavyowafanya ACT. Angalieni walivyowafanya CUF. Angalieni walivyowafanya TLP, nk.

Raisi Magufuli anatumia kuendelea kwenu kutokuwa kitu kimoja kuwabomoa na kuwadhoofisha, mara nyingine hata akipandikiza migongano kati yenu kwa kumsifia huyu na kumkashifu yule, na hata kuwateua baadhi yenu au kuwatia ndani bila sababu za msingi akijua hamna nguvu ya pamoja.

Angalieni kwamba mkiungana sasa mtakuwa na nguvu kubwa sana ya kukabiliana na Raisi Magufuli na chama chake CCM, na sauti yenu itakuwa kubwa zaidi ndani na nje ya nchi. Magufuli na CCM wataanza kuwaogopa. Msipoungana katika muda huu wa utawala wa Magufuli, kuna baadhi ya vyama vyenu na viongozi wenu mtadhoofika huenda hata kufa kisiasa.

Sasa ni wakati muafaka wa vyama vya upinzani nchini kuungana, angalau hata kuongea juu ya kuungana kuwa chama kimoja chenye nguvu. Sahau UKAWA, wekeni ubinafsi pembeni (self interest) unganeni na kunzisha chama kimoja cha siasa.

WAUNGANE WASIUNGANE VYAMA VIA UPINZANI KWA SASA VIMEKUA MZIGO KWA WANANCHI HAVISAIDI CHOCHOTE WALA KUTOA MCHANGO WOWOTE WAMAENDELEO YETU ZAIDI NIKUDIDIMIZA MAENDELEO YA MWANANCHI WA CHINI,WAKO KIMASLAHI ZAIDI.WATU GANI TUNAPOPIGANIA MASILAHI YA NCHI WAO WANAPINGA,WENGINE WANAJIFANYA WANAUNGA MKONO NYUMA YA PAZIA WANAWASAIDIA MABEPARI ILI SERIKALI ISHINDWE AKILI ZAO WANAMKOMOA JPM KUMBE WANAWAKOMOA WATANZANIA.UPINZANI WA SASA SIO ULE WAKINA DR SLAA AMBAO ULIKUA UNATETEA KWELI MASLAHI YA WANANCHI,WA SASA NI UPINZANI UCHWALA,NI KICHAKA CHA WAARIFU,MTU AKIONA MADILI YAKE YAMEBANWA NA KUNA UWEZEKANO WA KUMFIKISHA MAHAKAMANI KWASABABU ALIFANYA UFSADI SEHEMU ANAKIMBILIA KICHAKANI(UPINZANI) ILI WAKIMTAFUTA KUWAJIBIKA ASEME WANAMUONEA KWASABU AMEHAMA CHAMA.

TANGU UCHAGUZI WA 2015 UISHE MPAKA SASA HAWAJAWAITOA HOJA ZA KUWATETEA WANANCHI WA KAWAIDA ZAIDI YA KUWATETEA WAPIGA DILI,MAFSADI UKU WAKIBADILISHA HOJA ZA MSINGI ZENYE TIJA YA KULETA MAENDELEO NA HOJA DHAIFU ZISIZO ZA MAANA ZAIDI ZINAKUA KAMA ZECOMEDY MARA BASHITE,ILI WANANCHI WASAHAU HOJA YA MADAWA YA KULEVYA KISA WAMEWAGUSA JAMA ZAO WANAOWAWEKA MJINI.MAJIMBONI KWAO HAWAKAI WAKO DAR WANATAFUTA TAKWIMU ZA MAPATO,MARA BOBANDIER IMEKWAMA HIZO NDO HOJA MAMA KWAO MANA SAIZI HOJA KUBWA ZILIZOKUA ZINAWAPA UMARUFU KAMA ZA ESCROW HAZIPO.MAMBO YANAYOFANYWA NA SERIKALI YA KIMAENDELEO HAYO HAWAYASEMI NA KUWAMBIA TOENI HATA USHAURI HAWATOI ZAIDI YA KULALAMIKA,ATA WAKITOA USHAURI UNAKUA NEGATIVE ILI SERIKALI ISHINDWE.MFANO ULE MUSWADA WA DHARURA WA MADINI WALISEMA WAWAPE MUDA MPAKA MWAKANI ILI MASWAIBA WAO WAZUNGU WAENDELEA KUTWIBIA MADINI YETU.
 
Hapana Mkuu, lazima uwe fair kwa vyama vya upinzani. Wametoa mchango mkubwa sana kuibua ufisadi, na hata kuwapeleka CCM mchakamchaka. Kuna mambo CCM wanafanya kwa kuwa wanawekwa macho usiku kucha na vyama vya upinzani.

Na pia usitegemee vyama vya upinzani kutoa mchango sawa na CCM ambao wako madarakani. Acha ukweli uwe ukweli.
 
Back
Top Bottom