Utawala wa kikwete wagawanyika

mkweli1961

Senior Member
Nov 9, 2010
148
44
Serikali ya Kikwete imegawanyika, hilo halina ubishi. Inapofikia waziri anamshutumu naibu wake hapo hatuna serikali. Kikwete chukua maamuzi magumu fukuza mawaziri wote wenye kashfa. Wizara ya Nishati na Madini kuna matatizo makubwa hawa mawaziri hawana lolote jipya ondoa. Hawa wanakuharibia kazi huna haja ya kuwabeba yatosha.

Wanakudanganya, fahamu kwamba tanzania bila mgao wa umeme inawezekana. Miradi mingi katika wizara hii iko inflated sana kuliko gharama halisi.
 
Aitishe uchaguzi mkuu, hilo ndilo shuluhisho. Mbona nchi nyingi duniani mambo yakiwa hovyo serikali huitisha early elections
 
Wala siyo suala la Kikwete kuchukua hatua, ni watz wote kuchukua hatua na kuubwaga huu mfumo wa kijinga!!!!!
 
Bt Mna uhakika gani kua uchaguzi ukiitishwa leo na ccm wakaondoka na chama kingine kikiingia hawatakula na wao? mpaka kuja kutoa rushwa kwenye system yetu ya kiuongozi hapa bongo itachukua kama miaka 10..maana rushwa ipo mpaka kwenye vitongoji so hiyo sio kazi ya siku moja regardless of which party is in power rushwa itaendelea for a few years..i can guarantee u that!!
 
Baba akikosa heshima katika familia watoto wote huwa wanafanya wapendalo kwani hakuna wa kuwakemea. Watoto wanajua madhambi ya baba yao, wanajua akiwagusa wanamwambia mama. Huyo ndo JK. Mawaziri wake wanajua madhambi yake na jinsi aliyoingia madarakani ndo maana anaogopa kuwagusa.
 
Kiazi mkubwa unafikiri hatujui wewe ni miongoni mwa wanaofaidika na utawala wa kikwete. Mabadiliko ni lazima kikwete aondoke ili tupange utaratibu mpya wa kuendesha serkali. Huu uliopo umejaa kutu kila ukishika unakatika hovyohovyo.
 
Serikali ya Kikwete imegawanyika, hilo halina ubishi. Inapofikia waziri anamshutumu naibu wake hapo hatuna serikali. Kikwete chukua maamuzi magumu fukuza mawaziri wote wenye kashfa. Wizara ya Nishati na Madini kuna matatizo makubwa hawa mawaziri hawana lolote jipya ondoa. Hawa wanakuharibia kazi huna haja ya kuwabeba yatosha.

Wanakudanganya, fahamu kwamba tanzania bila mgao wa umeme inawezekana. Miradi mingi katika wizara hii iko inflated sana kuliko gharama halisi.

Inaonekana kwa dhati kabisa kuwa unapenda JK aendelee kutawala......Sisi tunapenda yanayotokea yaendelee kutokea ili mwisho uwahi kufika......
 
acheni upuuzi nyie na uvivu wa kufikiri kwani mnataka hii nchi isitawalike kijinga jinga.
Jk fanya kazi baba wala usiwasikize hao magwanda.

Unaongea kama mke mdogo wa Kikwete.....umeolewa au ndiyo unataka uwe nyumba ndogo yake.....m..sh..en..zi sana wewe.
 
Kiazi mkubwa unafikiri hatujui wewe ni miongoni mwa wanaofaidika na utawala wa kikwete. Mabadiliko ni lazima kikwete aondoke ili tupange utaratibu mpya wa kuendesha serkali. Huu uliopo umejaa kutu kila ukishika unakatika hovyohovyo.

usaidiwe macho uone sawasawa kilaza ,pøor you
 
Yaani tungekuwa na rais makini kilichokuwa kinatakiwa kufanywa ni kuwatimua waziri na naibu on the sport kisha uchunguzi unaanza. Ila sasa bahati mbaya ndio hivyo tena...
.
 
Bt Mna uhakika gani kua uchaguzi ukiitishwa leo na ccm wakaondoka na chama kingine kikiingia hawatakula na wao? mpaka kuja kutoa rushwa kwenye system yetu ya kiuongozi hapa bongo itachukua kama miaka 10..maana rushwa ipo mpaka kwenye vitongoji so hiyo sio kazi ya siku moja regardless of which party is in power rushwa itaendelea for a few years..i can guarantee u that!!

much respect mtotowamjini!
ni kweli kabisa itafika wakati one thief goes out another smart thief comes in! they say the devil you know is much better than the one you do not know, though they are all devils!
 
Kwendeni huko na UNYANG'AU wenu!

Hii nchi itajengwa na wenye nia na watu hao ni CHADEMA.
 
Mwacheni aendelee kuchelewa kuchukua hatua, wakina milya wanachukua hatua, yaani hamuoni wanachama wa ccm wanavyojiunga na jeshi la ukombozi?. wamekosa matumaini ktk ccm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom