Utawala wa Kikwete utaupa title gani for the book?!

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,886
Waandishi wakubwa wa vitabu,au watengenezaji
wa filam huwa wanakuwa very carefull na title za fila za au vitabu zao....

sasa kila nikiutazama utawala huu wa Kikwete na Kikwete mwenyewe huwa
najiuliza kama wewe utapewa kazi ya kuchagua title sahihi ya
kuuelezea utawala huu wa Kikwete na Kikwete mwenyewe....

ni ttitle gani wewe unaona itafaa zaidi....
iwe kwa kiswahili au kingereza????????????
 
1. Tanzania Under Kikwete: Lost in Translation
2. Kikwete: 1bn Promises, 0 implementation.
3. Kikwete on Kikwete: Poor Tanzania
4. 4Th Tanzanian Presidency:The worst of all time
5. Kikwete: What went wrong?
 

"Kisa cha chui wa karatasi na muungurumo wa simba mla nyasi"

...and the cover could look like this:

StiltedLion.jpg
 
Nadhani Title nzuri ingekuwa: Utawala wa Tanzania na Njozi Zilizofifia
 
1.Kikwete:why Tanzania is poor?
2.Poor administaration ever in Tanzania 2005/10
3.Much talk no impremantation
4.Tanzania with no future under Kikwete
5. Kikwete: where is our think tank?
 
Mimi napenda title ya
kikwete-mfalme njozi na hatima yawatanzania......
 
Au kikwete-be carefull on what you wish for.....
Because you may get it........
 
1. Tanzania Under Kikwete: Lost in Translation
2. Kikwete: 1bn Promises, 0 implementation.
3. Kikwete on Kikwete: Poor Tanzania
4. 4Th Tanzanian Presidency:The worst of all time
5. Kikwete: What went wrong?

Mimi nimeipenda sana hiyo ya mwisho hasa ukitilia maanani jinsi Watanzania wengi walivyojawa na matumaini makubwa baada ya ushindi wa Kikwte 2005. Wengi walimwita "mkombozi wetu" na wengine kuthubutu kumwita "chaguo la Mungu" but so far he has nothing to show off for his achievements with exception ya kutimiza "Ilani ya chama ya uchaguzi 2005"

 
1.kitendawili ndani ya tabasamu
2.mbwamwitu ndani ya ngozi ya kondoo
3.majuto mjukuu
4.kuti kavu
 
  1. JK na Maisha Duni kwa kila Mtanzania
  2. The Mosnter behind JK's Amiable Façade
  3. JK na sanaa za Ikulu
  4. Tanzania: A people in Socioeconomic decline 2005-1015
 
Akili ya Mbayuwayu!..
Nitaukumbuka sana Utawala wa Kikwete kwa hadithi yake ya Mbayuwayu na Gong'ota ambayo ukiitazama vizuri inaleta maana kabisa jinsi JK anavyoendesha Utawala wake.....Hadithi njoo utamu kolea!

Je mnajua kwamba Mbayuwayu ni ndege anayesafiri sana akipeperuka huku na kule akifukuzia wadudu hewani (safari za JK) na mara kwa mara hutua hata ktk nyaya za umeme au simu na sii ardhini. Hivyo utafutaji wake chakula ni tofauti kabisa na ndege wengine. Pia maajabu ya Mungu huyo Mbayuwayu (JK) hutaga mayai yake ndani ya tundu aloacha Gong'ota (Mkapa) au huchimba tundu lake mwenyewe ktk udongo laini karibu na majabari..
 
Back
Top Bottom