Utawala wa Kikwete utaupa title gani for the book?!

Jana usiku nimeota Kwamba Muungwana Kikwete kwa kutumia uungwana wake Ameamua kwa hiari yake mwenuyewe, bila kushurutishwa na mtu yoyote kwamba hata gombea tena uongozi mwaka huu , kwa faida yake na ya kwa faida ya taifa la tanzania.
Infwact baada ya kuona kwamba aliye jitokeza ni yeyeyeye pekee ndani ya chama, na baada ya kuangalia utendaji wake, wa wa miaka 5 ameona kwamba kuna watu wanamchekea lakini ndani ni tofauti, hivyo walicho mfanyia ni mtego wa panya, jikamate mwenyewe.
 
" 2005 - 2010: Safari ya Vasco na Wanene Wenzake Bara Ulaya Kutafuta Maliasili "
 
The best president ever in democracy for developing countries.
The most tolerable president in Tanzania since 1961
Nadhani hii imekaa vizuri wadau. Au mnasemaje?
Kama yuko weak kwa mujibu wa maoni yenu hapo juu, kwa nini wote wamejitoa kugombea? Akina mbowe wako wapi? wameona maji marefu haya hawayawezi. Mmebaki kubweka tu kwenye mtandao na chuki zenu binafsi. Shame on you! Asilani!
 
Hakuna mwana JF hata mmoja aliyekupa senks. Go figure!
 
'The blind leadership: a case of Tanzania' or 'The blind leading the blind: a case of JK administration'.
 
Back
Top Bottom