Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Gharama za zinaa ni kubwa, si simu pekee, kapime kama hujaachiwa na virusi.

Msizini, oaneni na mpime kabla hamjaoana.
 
mkuu ni kawaida wewe umepigwa mzinga wa simu kuna mwingine anatoa hela ya saloon mwimgine mavazi mwingine hela ya msosi ndivyo walivyo mademu siku hizi
 
Simu tu unamuanzishia thread, kwani ukinunua hutowasiliana nae?

mwanaume mbaya huyu! Mi naamini kwa siku nzima lazima kuna matendo mengine wamefanya (incl kuwasiliana), sijui kitu gani kimemfanya afikirie ameombwa simu sabb ya sex.
 
nimeipenda signature yako mkuu.... ungemalizia kijani na njano
:spy::spy:
 
mie naona ni sawa tuu maana hii inatuondolea mambo ya commitment...wewe nipe K mie nakupa pesa. nikikuchoka nasepa
 
Mmh...Ila kuna baadhi ya wanaume nao siku hizi kwa Mizinga ni balaaaa...!
 
Wana jamvi nilikuwa sehemu na rafiki zangu tukisindikiza siku, ikaja hoja ya kila mtu analalamika kuhusu mizinga kutoka kwa mabinti/dadaz/wasichana/wanawake. Tumejadilia aina za mizinga nawe ongeza kwenye list kila atakae kula tunda ajiandae Wallet kufunguka huwezi kukwepa hii mishale hapo chini labda ubake make kiukweli hatuwezi kuwa mbali na hili tunda.

Mkuu usilalamike wakati mwenyewe umetoa sababu hapo kwa red
 
Makubwa!, sikushauli umpe hata hiyo simu kwakuwa huo sio mtaji wa kuchumia pesa. Pia raha ni kwa wote kwanini yeye adai malipo au ofa baada ya kazi, Lakini wajinga ndo waliwao chunguza kwa makin kabla ya kufanya jambo,kama mlipatana kwa mkataba huo sio mbaya, lakin unapo mtafuta mtu usimpe story za uongo ongeeni ukweli kabisa.

mara nying kweny uo mchezo mwanaume ndo anapata raha na hamutamaliza mpk ahakikishe ameipata raha, na weng wa wanawake hawapat iyo raha. Ili kubalance angalau kidogo inabid kumpa moyo kw kumuhudumia.
 
mkuu ni kawaida wewe umepigwa mzinga wa simu kuna mwingine anatoa hela ya saloon mwimgine mavazi mwingine hela ya msosi ndivyo walivyo mademu siku hizi

wanafanya ivyo il kuwapunguzia majukumu. Hauon m2 kaombw cm 2 kaona anapigwa mzinga sa angeambiwa agharamikie vyote si angetoka mbio na visiki angepita kujikwaa
 
yaani wewe mi sijui nikushaurije kwa sababu we tayari umekula unaona tatizo kulipa? sasa tukusaidieje
 
Back
Top Bottom