Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

unatakiwa kumpa care kaka ndo ukweli wake angekuambiwa kuwa kuna jamaa anamtongoza hajawahi sex nae afu ndiyo alomuhonga hiyo simu anayoitumia ambayo ilikufanya umpate hadi mka sex ungejisikiaje?
 
bora wewe. mi nliambiwa "hii cmu ya dada, kesho ntanunua line afu ntakuja ukaninunulie cmu kama ya flani(galaxy champ". hapo ctamla. nkasepa.!
 
kesho yake akatuma msg. eti "bebi kuna gauni nimeliona nkalipenda, bei 43,000. nimelipa 1500 nyingine c utanmalizia?
 
Alitaka muwe na mawasiliano ya karibu kuongea kila mnapojisikia au kutumiana text message n.k. ukishamnunulia usisahau na vocha...ndio mapenzi yalivyo bana....Bure ghali!!!

Na serikali leo imeongeza kodi ya airtime, mbona tutakoma wanaume!
 
Lol. . kwa kweli sometime i so like that am a woman! we ar real makin it happen!
Mwanaume anafanya kazi ili apate pesa za nn?
Anakula ili apate nguvu za nn?. . utazungukaaaa at the end of the day ili wapate nyapu mchezo? uishi nyumba nzuri ukiwa unapata. . starehe zote end of the day mchezo loool. .

Khaa! mwana wa laana weye, mwanaume anachuma ili akupe weye na raha msikie wote? kha umezid dhulumat we.
 
hivi kwanini wafanya kazi? je wajua baada ya kuwa na kila kitu nini ambacho kinakuburudisha zaid ya vyote? nenda popote liwazo ndo mpango mzima. unalipatia wapi kwa stail gani ndo swala. hatupendi muholonjo atii.
 
Nyie ndo wale wanaume, unakwenda kwa nyumbani kwa mwanamke, maji ya kunywa bure, juice bure, chakula bure, unachafu shuka na choo bure, nyapu bure tena kwa jinsi utakavyo, lol! hata aibu hamna! jibaraguze basi siku moja moja upite hata supermarket ubebe hata maziwa ya kutengenezewa chai.

Sipendi, sipendi, sipendi wanaume DUSHELELE TU!

Wape vidonge vyao!!!
 
alipomaliza kufanya tu namimi sex kesho yake akaniomba kumnunulia simu, ni mapenzi haya au karaha
Usipofanya hivyo ukimuhitaji utawasiliana kwa kutumia nn Mkuu? Ni wazi si simu tu, bali mengine yanayohusiana na matumizi ya simu yatafuata pia.
 
Nyapu ndio nini? :)

Nyie ndo wale wanaume, unakwenda kwa nyumbani kwa mwanamke, maji ya kunywa bure, juice bure, chakula bure, unachafu shuka na choo bure, nyapu bure tena kwa jinsi utakavyo, lol! hata aibu hamna! jibaraguze basi siku moja moja upite hata supermarket ubebe hata maziwa ya kutengenezewa chai.

Sipendi, sipendi, sipendi wanaume DUSHELELE TU!
 
alipomaliza kufanya tu namimi sex kesho yake akaniomba kumnunulia simu, ni mapenzi haya au karaha

hahahhahahha starehe gharama baba hebu gharamika hapoo hahahha,, siku hizi haya the so called "mapenzi" mmmhhh!!!
 
Back
Top Bottom