Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,858
- 7,847
Hivi u.s.e.n.g.e. Haipo?? Nimependa hilo jina!
Wakikusikia wenyewe watakupiga madam.......!! shauri yakoKumbe mafala wana kijiji chao eeh
Aisee, hii ni kiboko zaidi...........Kitu kichi hapa
Kumbe mafala wana kijiji chao eeh
Acha urongo!Ipo singida
Acha urongo!
Hii ipo Kenya.
Singida kuna Senge...
Mbona hizi poa tu... Japan kuna mji uaitwa K***MOTO!
Ya Singida inaitwa Chief Senge Secondary School au kwa kifupi Senge Secondary School.Ipo singida
1. Shika Adabu Primary SchoolHayo majina (Ufala, Usenge etc) yanatamkwa kama yanavyoandikwa? Kuna kambi moja ya wakimbizi kule Turkana inaitwa "Kakuma" lakini kwa namna wanavyoitamka haileti utusi kivile!