Utata wa jina la shule

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
2,845
7,794
MAJINA MENGINE UTATA MTUPU.jpg
Utata mtupu!!!
 
hahahahahahahahahah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hakyanani jf kiboko aisee!!!!!!!!!!
 
Kule Likoni (Mombasa) kuna shule mbili sijaelewa majina yake yanashabihi nini?
1. Shika Adabu Primary School
2. Jamvi la Wageni Primary School
 
Hayo majina (Ufala, Usenge etc) yanatamkwa kama yanavyoandikwa? Kuna kambi moja ya wakimbizi kule Turkana inaitwa "Kakuma" lakini kwa namna wanavyoitamka haileti utusi kivile!
 
3. Senge sekondari
4. Usenge sekondari
5. Ufala primari na kituo cha elimu ya watu wazima

Je historia za shule hizi zimeshatoa viongozi? au ndio akina fulani ndio wamesoma huko ndio maana nchi haieleweki?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom