Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

Mkuu kuna kitu kinaitwa MYTH na kipo kinaitwa FAITH
Watu wanashindwa kutofautisha na kukontras :D
Mkuu Ni kweli kanisa na hapo hasa ndo kuna tatizo..

Lakini hata hivyo on other hand
Every Faith started as Myth..
Thats why the study of Theology lazma iambatane na The study of mythology..

Hata Habari ya ukweli kwanza huanza na Uvumi..
Before People believe in it and construct Faith..
And Finally Trust..
 
Nzi wa nuhu waliishi siku 41😂
Hapana mkuu wamekaa kwenye safina kwa siku 150 ambayo ni sawa na miezi 5..😅😅

Soma Mwanzo 7:24

"Maji yakapata nguvu juu ya nchi siku mia na hamsini."

kitu ambacho kinapingana ma Sheria za kibiologia ..

Sasa jiulize kinyesi cha wanyama wote Kilikaa kwa siku 150 na kisafina kile kilivyokuwa kidogo dah..
 
.
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.

Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.

2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.

Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?

3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?

Nawasilisha
''
 
Tangu uasi ulipochomoza katika viumbe aliowatengeneza mwenyewe
Mungu ni wema wenyewe na asili ya kila wema ama kilicho chema. Hakuna baya linaloweza kutoka kwake, wala lenye asili yake, ikiwemo kuangamiza.

John‬ ‭10:10
"The thief comes only to steal and kill and destroy; I have come that they may have life, and have it to the full."

Siyo tu kuangamiza; Mungu hawezi hata kukutia katika majaribu ama dhambi, bali wewe mwenyewe unaweza kujiingiza ukiongozwa na tamaa mbaya.

‭‭James‬ ‭1:14‬
"but each person is tempted when they are dragged away by their own evil desire and enticed"

Please take note.
 
Hata shetani alitumia Neno kutoka Kinywani kwa Mungu kuwahadaa Adamu na Hawa kule Eden.

Alifanya hivyo kumjaribu Yesu baada ya kufunga siku 40. Hivyo sishangai Neno la Mungu kujaribiwa kutumika kubadilisha maudhui ya Kusudi la Mungu
 
Dunia ya wakati huo sio dunia ya wakati huu, kuna vitu vimewahi kuwepo havipo sasa na kuna vilivyopo sasa havikuwahi kuwepo.
 
Kemet haikua middle east ni misri, ile ya watu weusi sio waarabu wa sasa, ndo wale waliojenga yale ma pyramid, kuna jamii za watu weusi zimeamka na zimeanza kuelewa kilichomo humo ndani hasa kwa marekani na watu wa west Africa ila huku kwetu wengi bado wamefungwa na narration za makanisa kuhusu hiko kitabu......kinachotukwamisha ni kwamba watu wanafata sana dini hasa hizi za kuletwa, miongozo ya kiroho haipo tu kwenye dini, dini kwa kiasi kikubwa zilitengenezwa na watawala kuwaweka watu kwenye hali fulani ya utumwa,,,,kuna religion na kuna spirituality, watu wajikite sana kwenye spirituality kuliko dini,,,,,na ukiisoma biblia katika mlengo wa kidini hutoboi
Kidogo umekuja kuja..
Hapo kwa spiritual ndo code ilipo.
Tena sio code mchezo ni code haswaaa
We soma agano la kale zamani walivokuwa wakikosea waliluwa wanatakaswaje kule milimani na kufunga kwa siku 3..
Kuna vitu kuvielewa inahitaji kichwa kisiwe na madeni.
 
Hata shetani alitumia Neno kutoka Kinywani kwa Mungu kuwahadaa Adamu na Hawa kule Eden.

Alifanya hivyo kumjaribu Yesu baada ya kufunga siku 40. Hivyo sishangai Neno la Mungu kujaribiwa kutumika kubadilisha maudhui ya Kusudi la Mungu
Tuwekee hapa hilo neno la Mungu lililotumika.
 
Ni changamoto, huwa naamini maji hayo ni sehemu husika tu ndio mma ilijaa labda na sehemu za karibu, sio ulimwengu woote. Hata hao wanyama aliowachukua ni wa sehemu hiyo husika, ili itakapotokea maji yameisha maisha yaendelee.
Kuhusu miti bado nafikiria, ila linapokuja suala la uwezo wake muumba ninapoa, kama aliweza kuweka miti kipindi hakipo, hawezi kushindwa kuipa uhai ikiwa chini ya maji kwa siku 40.
Nilijipa homework ya kujua miti ikiwa chini ya maji kwa siku 40 tena kwenye giza, itakufa? Sikuweza kulifatilia hili jambo.
Kwa kweli inafikirisha!
Nadhani mimea haikuhusishwa pamoja na samaki na wanyama wa baharini! Lakini hata hivyo chini ya bahari kuna misitu ya mimea ambayo ipo karne nenda rudi,na kama sikose ni moja ya vyakula vya wanyama hao!
 
Yaani siku 150 na bado wako hai🤔
Hapana mkuu wamekaa kwenye safina kwa siku 150 ambayo ni sawa na miezi 5..😅😅

Soma Mwanzo 7:24

"Maji yakapata nguvu juu ya nchi siku mia na hamsini."

kitu ambacho kinapingana ma Sheria za kibiologia ..

Sasa jiulize kinyesi cha wanyama wote Kilikaa kwa siku 150 na kisafina kile kilivyokuwa kidogo dah..
 
Brother
KUHUSU Safina ya Nuhu
Kabla sijaanza kuangalia Hasa Inamaanisha nini maana Hii ilikuwa Ni code na sio Tukio halisi..
Tuangalie uhalisia yaani Tukio hili lilianza lini..

HISTORIA YAKE
Tunarudi Nyuma mpaka Miaka ya karne ya 18 BCE, au Miaka kabla ya Musa kuzaliwa....

Hadithi hii ilionekana katika nchi za Uru wa wakaldayo katika Vitabu Ambavyo leo hii vinaitwa Old Babylonian version books..(OBV)..

Kwa jina maarufu linaloitwa "The Epic Of Gilgamesh"

Katika Epic of Gilgamesh kuna Hadith ya Gharika ina itwa "The Atrahasis Great Flood"
kama ambavyo kwenye Biblia Imeandikwa kama "The Noah Great Flood"

"Baada ya maasi na Uovu Kuzidi Duniani Bhasi Mungu Enlil(ambaye pia wanamtaja Kama Yahwe Elohim) alikasirika na akaghairi kwanini aliumba Ulimwengu! Hivyo akaamua kuungamiza kwa maji kwa kutumia gharika..

Hata hivyo Mungu Enki(Ambaye anatajwa kama Jehovah) hakufurahi Adhabu hiyo kwakuwa aliamini wapo watu wema katika nchi wanaostahili kuokolewa ndipo alipomuagiza Atrahasis kuunda safina na kuitengeneza kwa ajili ya Flood itakayotokea na kweli story ikaenda kama ilivyoandikwa kwenye bible..

Hadithi hii Ipo.kwenye OBV (Old babilonic Version)..
Au hata Atrahasis tablets Au hata Epic of gilgamesh....

Na hii ndo story ya Kale zaidi kuhusu Gharika "The Great flood Of Atrahasis"

Ikifuatiwa na story ya hivi karibuni miaka ya 2000-1000 BC Ya "The Great flood of Noah"

Upande wa Historia ya Gharika hiyo nahisi nimeimaliza DeepPond

Kama ukisoma ukaelewa niambie nihame upande huu wa Anunaki story of Flood Nihamie kwenye bible story of flood..
Na maana yake..
Na kama una swali uliza mkuu nitajitahdi kujibu napojua na kuelewa
Brother una madini mengi Sana, much respect🙏
 
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.

Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.

2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.

Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?

3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?

Nawasilisha 🙏
Na kuna viumbe ambavyo kuzaliana kwao ni assexually. Hivyo navyo vilingia viwili viwili kwenye safina?
 
Misri ni fumbo na hata hio Israel sio hilo Taifa mnalolichukulia kwa sasa Israel maana yake ni taifa la Mungu halihusiani na watu wa jamii fulani ndo maana kwenye agano jipya unaambiwa Yesu alikuja kuwafanya watu wa mataifa yote kua israel,......ni kwamba wawe taifa la Mungu kiroho hakumaanisha watu wawe hio Israel mnayoichukulia kimwili, Misri ni ile hali ya kua kwenye taifa la giza(shetani) kwahio alikuja kuwatoa watu misri ya kiroho ili wawe Israel(Taifa la Mungu) na kama mawazo yenu ni kwamba hii Israel ndo taifa la Mungu mmepotea maana humo wamejaa wazayuni ambao wana mambo ya kishetani na ndo wanaosapoti kwa kiasi kikubwa Agenda za LGBT na mambo mengine ya NWO
Hili nalifahamu vizuri. Na naamini kuwa Misri ni fumbo..lakini pia ni matukio halisi yaliyotokea.

Hapannamaanisha kuwa kila vitendo vilivyotokea na kuandikwa katika biblia ni ishara. Za kweli zenye maana kimwili na kiroho pia.

Kimfano ishara zote alizooneshabMusa za kuifany fimbo kubadilika nankuwa nyoka, kugonga mwamba na ukatoa maji, na kupiga maji ya bahari kywa mekundu, na nyingine zote zina maana kubwa aana kimwili na kiroho, maana hata ukisoma kwa undani zaidi utaelewa kuhusu Kristo alivyokuja mara nyingi duniani kwa ishara na miujiza ya watumishi mbalimbali wa Mungu akiwemo Musa mwenyewe...nk.

So, ndio, mengine ulioongea yana check out...ila kuna mengine mengi zaidi.

Kuhusu stori ya Nuhu na safina..kiroho wanadamu walikuwa na tech kubwa sana hadi ya kumuasi Mungu, walifanya interbreeding na malaika na wale wa kule kuzimu, kiasi cha kuunyanyua utukufu wa shetani kupindukia, ukisoma kwanumakini Mwanzo 6 yote utaelewa kwa undani.

Ulimwengu wa roho umeshikamana parallel na ulimwengu huu wa mwili ndio maana unawez akuonabkitendo kimojabtuu cha ulimwengu wetu huu wa nyama kumbe kikawa ni bonge moja la biashara kwenye ulimwengu huo mwingine wa milele.

So, ndio, huenda Safina na Gharika ikawa ndio haikuwepo, lakini kilichotimia rohoni, ujue na mwilini ni lazima kifanyike, hata kama ni kwa ishara, maono na miujiza
 
Back
Top Bottom