Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,606
- 29,755
MkuuBinafsi Muumini wa Imani ya Mungu akisema “Kwa Mungu kila kitu kinawezekana” basi huwa naishia hapo kwa KUHESHIMU imani yake
Shida inakuja pale mwana Imani anapotetea imani yake kwa kutumia Akili(Logic).
Logically Hadithi ya Noah HAIWEZEKANI
Logically tunapaswa kujadili na kuhoji na kuchunguza sana Neno la Mungu. Akili za jumla jumla huwa zinawakamata watu wachache ama wengi wasioelewa.
If you believe there was Noah and his Ark, where did you learn this? Pia nani ameandika hadithi ya Nuhu na Safina yake? Habari hii iliandikwa lini? Nani ameandika habari ya UUMBAJI?
Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa kuna mengi ya kale na hata sasa yanadhihirisha uwepo na ukuu wa Mungu. Usinichukulie kama wale ambao wakishasema Mungu na story inaishia hapo... Ninasoma haswa kutafuta relevance ya Imani yangu Kwake na kikubwa nayahesabu yote kwa umakini sana