Utata: Kifo cha Wa Mutharika na Unabii wa TB Joshua..

Ukweli kuhusu utabiri wa TB Joshua kwa Rais
Mugabe Posted by GLOBAL on February 21, 2012 at
9:04am
View Blog Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe. WIKI iliyopita gazeti hili liliandika habari kuhusu
utabiri wa Mhubiri wa Neno la Mungu wa Nigeria,
Temitope Balogun Joshua kuwa kuna kiongozi wa
kiafrika aliyedumu kwa muda mrefu madarakani
Afrika ataaga dunia ndani ya siku 60 zijazo.
Gazeti hili lilinukuu habari za mitandao mbalimbali ya Zimbabwe ambayo ilikuwa ikieleza kuwa utabiri
huo unamlenga Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe
ambapo mingine iliweka picha yake huku
akionekana kasinzia.
Lakini pia mitandao mingine ilimnukuu msemaji wa
chama kinachotawala Zimbabwe Zanu PF, Rugare Gumbo, alikataa kusema chochote kuhusiana na
utabiri huo. “Siwaamini baadhi ya manabii hao wa
siku za mwisho,” alinukuliwa Gumbo akisema.
Ukweli ni kwamba habari ile ilishabikiwa na
mitandao mbalimbali ya Zimbabwe na magazeti ya
huko. Kama ilisababisha usumbufu kwa ndugu, jamaa, marafiki na raia wa Zimbabwe hapa nchini,
tunaomba radhi kwa usumbufu wowote kwani
Rais Mugabe bado ni kiongozi wa nchi yake na
buheri wa afya. -Mhariri.
 
Iakuwaje sasa Nigeria inaweza kuwatibu mpaka marais lakini marai wa kwao wanapelekwa nje kutibiwa?
 
HUwezi kujua ukweli kwa mambo yanayomhusu Mungu kama wewe huongozwi na ROHO WA MUNGU. Kimsingi ni kwamba tangu mwezi Feb mwanzoni (wala sio 28Feb unayosema wewe) TB Joshua alikwisha tabiri kuhusu kifo chenyewe japo hakujua ni nani hadi ilipofika March first week. Tarehe 19 Machi TB Joshua alikwisha fahamu kupitia ROHO WA MUNGU kuhusu mhusika. Na siku hiyo aliwaambia kanisa kuna kifo/tukio litatokea siku ya Alhamisi. Sasa kama ni madaktari hadi wanajua siku ya kifo basi waje wajitokeze. Acha Mungu aitwe Mungu.....wala hakuna cha utata hapo.Kama Una-doubt unabii hilo lako but hakuna utata wowote. Ndo maana kwa wale wanaokwenda kwa kuona (macho) walidhani ni Robert Mgabe simply because Mugabe has been sick for sometime now. Ila mawazo ya Mungu si mawazo yetu na NJIA ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI!
Mkuu cha muhimu ni kutafuta ukweli ili kuujua ukweli.
 
Yeye hajasema ni Tabibu wa watu wote...ila anakiri kuwa yule ambaye Mungu hupenda kumponya anaponywa! Suala la wanageria kwenda nje kutibiwa jibu lake rahisi. NABII HAKUBARIKI NYUMBANI KWAO!
Iakuwaje sasa Nigeria inaweza kuwatibu mpaka marais lakini marai wa kwao wanapelekwa nje kutibiwa?
 
Naona unajitahidi kumshika uongo TB Joshua.Nakushauri kama unataka kuujua ukweli basi fanya rishechi ya kiroho kama yeye anavyotabiri kiroho.
Mapendo!!

SHOCKING - TB JOSHUA PROPHESIED ZAMBIA'S VICTORY!! - YouTube

At the end of the second live service on Sunday February 12th, 2012 at The Synagogue, Church Of All Nations, Prophet T.B. Joshua gave a prophetic message concerning the Africa Cup of Nations Final Match that had just started between Zambia and Ivory Coast.
Listen to the prophet's words and watch the highlights of the match.

This is the official YouTube channel of The SCOAN and Emmanuel TV. Extraordinary things have been happening here and we want the world to know about the wonderful things that God is doing. These videos are for the edification and uplifting of everyone who views them. To God be the glory
 
HAHAHAHAAAAAAAAA AISEE SITAKI KUTETEA UTABIRI WA TB JOSHUA KWENYE HILI LAKINI NI UONGO KWAMBA JAMAA ALIENDA NIGERIA KUFANYA CHECK UP.

SOMA MITANDAO KIBAO YA MALAWI INADISCUSS KIFO CHA HUYU JAMAA.

NA HATA MTANDAO NAMBA MOJA WA NIGERIA nairaland.com PIA WAMEMWAGA DATA ZOTE NA HAKUNA ALIYESEMA BINGU ASHAWAI KWENDA FANYA CHECK UP NIGERIA.

INGEKUWA SOUTH AFRICA KWELI. MAANA NDIPO ALIPOKUWA ANAENDA KUFANYA CHECK UP NA ANA MADAKTARI WAKE KULE.

KWA KIFUPI HUYO JAMAA YAKO KAAMUA KUKUTUNGIA UONGO ILI KUMPUNGUZIA JOSHUA COMPLIMENTS ANAZOPATA.

BINAFSI NISHAWAHI KUSOMA UTABIRI WA JAMAA KUHUSINA NA AJALI YA NDEGE NA AKATAJA SIKU YA JUMATANO KABISA. NA KWELI JUMATANO NACHECK NEWS KWENYE HOMEPAGE YA YAHOO NAONA PLANE CRASH NA WATU 48 WAMEKUFA.

KIFUPI TABIRI ZA JAMAA ZINAUKWELI JAPO SINA UHAKIKA KAMA NI MUNGU KWELI AU KUNA LA ZIADA.

LAKINI TABIRI ZAKE ZINA UKWELI, SIO KAMA ZILIVYOKUWA ZA SHKH YAHYA.

Mbona watu wanadai Joshua ni member wa Freemason?
 
Huu unabii wa kutabiri kifo na kikatokea unatija gani?
HUwezi kujua ukweli kwa mambo yanayomhusu Mungu kama wewe huongozwi na ROHO WA MUNGU. Kimsingi ni kwamba tangu mwezi Feb mwanzoni (wala sio 28Feb unayosema wewe) TB Joshua alikwisha tabiri kuhusu kifo chenyewe japo hakujua ni nani hadi ilipofika March first week. Tarehe 19 Machi TB Joshua alikwisha fahamu kupitia ROHO WA MUNGU kuhusu mhusika. Na siku hiyo aliwaambia kanisa kuna kifo/tukio litatokea siku ya Alhamisi. Sasa kama ni madaktari hadi wanajua siku ya kifo basi waje wajitokeze. Acha Mungu aitwe Mungu.....wala hakuna cha utata hapo.Kama Una-doubt unabii hilo lako but hakuna utata wowote. Ndo maana kwa wale wanaokwenda kwa kuona (macho) walidhani ni Robert Mgabe simply because Mugabe has been sick for sometime now. Ila mawazo ya Mungu si mawazo yetu na NJIA ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI!
 
nakiri kabisa Tanmo ni mwongo'japo sijihusishi na kufatilia sana haya mambo ya unabii'Rais hawezi kwenda nigeria kucheki afya'ina maana nigeria sio advance kwenye mambo hayo'haiwezekani bana achane kutunga uongo'labda ungesema alienda south africa na madaktari walio mcheki ni wanigeria

Nani asiyejua kuwa NIGERIA ndio kuna waganga feki wengi kuliko Sumbawanga! Kama MUTHARIKA alikwenda huko si kwa tiba ya western, ni kupata tiba mbadala ya maradhi yaje!
 
nakiri kabisa Tanmo ni mwongo'japo sijihusishi na kufatilia sana haya mambo ya unabii'Rais hawezi kwenda nigeria kucheki afya'ina maana nigeria sio advance kwenye mambo hayo'haiwezekani bana achane kutunga uongo'labda ungesema alienda south africa na madaktari walio mcheki ni wanigeria

Nani asiyejua kuwa NIGERIA ndio kuna waganga feki wengi kuliko Sumbawanga! Kama MUTHARIKA alikwenda huko si kwa tiba ya western, ni kupata tiba mbadala ya maradhi yake!
 
Kama hivyo ndivyo basi ni kwa nini hawa wanajiita manabii?

Wanajiita manabii ili waweze kuwaibia watu ambao walishakufa kiroho na ambao walishakata tamaa.Ndo maana kila siku wanahubiri mafanikio na miujiza tu, mbona kuna mambo mengi wanatakiwa kuwahubiri waamuni wao lakini wao wanakazana na mahubiri ya miujiza na mafanikio tu.
 
Ni walewale wanaotumia nguvu za giza,yakiwemo majini plus ufreemnson, nabii huyo ni nabii wa uongo,bendera fuata upepo watafuata.Sioni kama anatofauti na Babu wa Loriondo.Tufumbue macho tutafakari.
 
Hata kama anatabiri na yanatokea kweli, Mimi bado najiuliza hizo nguvu anazipata wapi? Hebu tutambue kuwa hata majini, waganga na wachawi wanaweza kutabiri, sio nguvu za Mungu tu ndio zinaweza kutabiri. Mimi siamini kwa miujiza na utabiri. Tatizo vizazi vya sasa vinaangalia wachungaji kwa kufuata miujiza.
 
Mbona utabiri wa TB Joshua ulitoka kabla ya tarehe 28.2.2012? Kuna thread ilianzishwa kuhusiana na utabiri wa Joshua hapa JF tarehe 9.2.2012 hii ina maana ni siku 19 kabla ya madai yako ya Mutharika kwenda Nigeria kwenye huo uchunguzi. Jina la thread hiyo ni RAISI MMOJA WA AFRIKA ATAKUFA HIVI KARIBUNI-TB JOSHUA. Itafute ipo kwenye international forum.

So acheni jitihada za kumdiscredit Joshua kwa sababu tu humuamini binafsi

Hebu chungulia hapa halafu utupe maoni yako Mkubwa:

TP Joshua says Mutharika knew prophecy was about him | Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source from Malawi
 
HAHAHAHAAAAAAAAA AISEE SITAKI KUTETEA UTABIRI WA TB JOSHUA KWENYE HILI LAKINI NI UONGO KWAMBA JAMAA ALIENDA NIGERIA KUFANYA CHECK UP.

SOMA MITANDAO KIBAO YA MALAWI INADISCUSS KIFO CHA HUYU JAMAA.

NA HATA MTANDAO NAMBA MOJA WA NIGERIA nairaland.com PIA WAMEMWAGA DATA ZOTE NA HAKUNA ALIYESEMA BINGU ASHAWAI KWENDA FANYA CHECK UP NIGERIA.

INGEKUWA SOUTH AFRICA KWELI. MAANA NDIPO ALIPOKUWA ANAENDA KUFANYA CHECK UP NA ANA MADAKTARI WAKE KULE.

KWA KIFUPI HUYO JAMAA YAKO KAAMUA KUKUTUNGIA UONGO ILI KUMPUNGUZIA JOSHUA COMPLIMENTS ANAZOPATA.

BINAFSI NISHAWAHI KUSOMA UTABIRI WA JAMAA KUHUSINA NA AJALI YA NDEGE NA AKATAJA SIKU YA JUMATANO KABISA. NA KWELI JUMATANO NACHECK NEWS KWENYE HOMEPAGE YA YAHOO NAONA PLANE CRASH NA WATU 48 WAMEKUFA.

KIFUPI TABIRI ZA JAMAA ZINAUKWELI JAPO SINA UHAKIKA KAMA NI MUNGU KWELI AU KUNA LA ZIADA.

LAKINI TABIRI ZAKE ZINA UKWELI, SIO KAMA ZILIVYOKUWA ZA SHKH YAHYA.

Soma hii hapa, halafu na wewe utupe ushahidi wako wa kukanusha kuwa Mbingu hakwenda Nigeria.

Mutharika in Nigeria, Callista not on
 
Back
Top Bottom