Utata: Kifo cha Wa Mutharika na Unabii wa TB Joshua..

To the best of my knowledge i know I have to take charge of my destine! Heri yenu mnaosubiri utabiri utimie.
 
Mbona utabiri wa TB Joshua ulitoka kabla ya tarehe 28.2.2012? Kuna thread ilianzishwa kuhusiana na utabiri wa Joshua hapa JF tarehe 9.2.2012 hii ina maana ni siku 19 kabla ya madai yako ya Mutharika kwenda Nigeria kwenye huo uchunguzi. Jina la thread hiyo ni RAISI MMOJA WA AFRIKA ATAKUFA HIVI KARIBUNI-TB JOSHUA. Itafute ipo kwenye international forum.

So acheni jitihada za kumdiscredit Joshua kwa sababu tu humuamini binafsi

Naungana na wewe uliyosema. Mbona ule utabiri wa ushindi wa timu ya Zambia katika mashindano ya AFCON hawausemisemi kama utabiri wa hiki kifo?
 
nakiri kabisa Tanmo ni mwongo'japo sijihusishi na kufatilia sana haya mambo ya unabii'Rais hawezi kwenda nigeria kucheki afya'ina maana nigeria sio advance kwenye mambo hayo'haiwezekani bana achane kutunga uongo'labda ungesema alienda south africa na madaktari walio mcheki ni wanigeria
 
Naungana na wewe uliyosema. Mbona ule utabiri wa ushindi wa timu ya Zambia katika mashindano ya AFCON hawausemisemi kama utabiri wa hiki kifo?

Mkuu ule utabiri wa zambia tulishikilia mioyo yetu tulijua ndio mwisho wa tb joshua'tumpe nafasi huyu nabii ipo siku atasema kilimanjaro italipuka volcano ndio mtaanza kutafutana
 
Humu kuna ma agent wa ibilisi na watu wanaooongozwa na Roho. Wapo ma ant-Christ na freemason kwa maana hiyo nikiona comment bogus kama iliyotolewa na mleta thread sishangai kabisa. T.B Joshua ametabiri mambo mengi na yametokea ikiwapo ajali ya ndege iliyosababisha kifo cha rais wa Poland. Alitabiri ajali hii kwa uhakika kabisa huku akitaja rangi za bendera za nchi ambayo rais wake atahusika na hiyo ajali bila kukosea
 
Wakuu heshima mbele na Poleni sana kwa Misiba iliyotokea na kuwagusa wengi kwa namna moja ama nyingine. Pia Heri ya Sikukuu kwa wale wanaohusika.

Wakuu kuna hoja nimeipata kutoka kwa Rafiki yangu Mmalawi kuwa Tarehe 28/02/2012 aliyekuwa Rais wa Malawi Bwana Wa Mutharika alienda nchini Nigeria kucheki afya yake iliyokuwa inamsumbua na Madaktari waliomfanyia vipimo wakagundua kuwa kwa mujibu wa vipimo basi Wa Mutharika amebakiza siku chache (inasemekana miezi 4) sana za kuishi kutokana na ukweli kwamba ugonjwa wake usingeweza kudhibitiwa tena.

Hivyo kutokana na kwamba miongoni mwa Madaktari waliomfanyia uchunguzi ni waumini wa Mchungaji TB Joshua basi wakamweleza Mchungaji juu ya Afya ya Bwana Wa Mutharika na kwamba ana Maximum ya miezi minne ya kuishi. Na ndiyo maana TB Joshua baada ya kutangaza "kupata maono" akawa anasisitiza watu kumuombea huyo Rais (hakutaja jina) ili kifo kimuepuke, kwamba ni miujiza pekee ingeweza kumwepusha na umauti.

Baada ya "Utabiri" wa TB Joshua inasemekana kuwa Wa Mutharika alijaribu kuwatoa hofu wa Malawi kuwa siyo yeye anayelengwa na kwamba yuko imara kiafya huku mwenyewe akitambua wazi kuwa ndiye mlengwa wa "ule utabiri"

Ngoja niendelee kukusanya data, nitarejea. Kama kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu hili siyo mbaya akaongezea, aidha kwa kukubaliana na hii hoja ama kuipinga.

Mapendo.
TANMO.

Naona unajitahidi kumshika uongo TB Joshua.Nakushauri kama unataka kuujua ukweli basi fanya rishechi ya kiroho kama yeye anavyotabiri kiroho.
Mapendo!!
 
Humu kuna ma agent wa ibilisi na watu wanaooongozwa na Roho. Wapo ma ant-Christ na freemason kwa maana hiyo nikiona comment bogus kama iliyotolewa na mleta thread sishangai kabisa. T.B Joshua ametabiri mambo mengi na yametokea ikiwapo ajali ya ndege iliyosababisha kifo cha rais wa Poland. Alitabiri ajali hii kwa uhakika kabisa huku akitaja rangi za bendera za nchi ambayo rais wake atahusika na hiyo ajali bila kukosea
Mbona hata pweza Paul alikuwa bingwa wa kutabiri na hakuwahi kukosea ! Sasa TB Joshua ni sawa na pweza tuu, ila itakuwa kazi kupata supu ya Joshua !
 
je vipi utabiri wake wa timu ya zambia kutwaa taji la AFCON alizipata nyepesi wapi? Marefari walimwambia? Na vipi kuhusu utabiri wake kuwa drogba atakosa penalti? Sipendi tuamini sana mambo ya utabiri ila linapotokea tuangalie uhalisia wake badala ya ushabiki

Vipi kuhusu ghasia za Waarabu? Vipi shambulio la kujitoa muhanga Nigeria? Vipi kuhusu kura za wa-TZ 2010? TB Joshua tumwache alivyo! Kama ni tapeli mengine anapatia bwana!
 
kweli umedanganyika kirahisi sana! wadau wameshakupa data huo unabii ulitoka lini, na wewe unasema alienda Nigeria lini(kama ni kweli) lakini, chanzo cha kifo chake cardiac arrest hakuna dokta anayeweza kubashiri kua utapata cardiac arrest within 4 months na utakufa! hata hivyo utabiri wa Tb joshua ulisema ndani ya siku 60. Manabii wapo, na Mitume pia wapo,hoja ni definition ya mitume na manabii katika bibilia na ktk vitabu vingine vya dini nyingine. iko clear ktk bibilia kua Mungu amewapa gift mbalimbali,wengine kua manabii, wengine waalimu, wengine mitume. Manabii kwa maana wanapewa ujumbe na Mungu kwa ajili ya anadamu. Mitume kwa maana wanasambaza ujumbe wa Mungu na kufungua makanisa katika sahemu ambazo hazijafikiwa( e.g ktk bibilia poul alikua anatajwa kama mtume kwa mataifa, petro mtume kwa jews)
Wakuu heshima mbele na Poleni sana kwa Misiba iliyotokea na kuwagusa wengi kwa namna moja ama nyingine. Pia Heri ya Sikukuu kwa wale wanaohusika.

Wakuu kuna hoja nimeipata kutoka kwa Rafiki yangu Mmalawi kuwa Tarehe 28/02/2012 aliyekuwa Rais wa Malawi Bwana Wa Mutharika alienda nchini Nigeria kucheki afya yake iliyokuwa inamsumbua na Madaktari waliomfanyia vipimo wakagundua kuwa kwa mujibu wa vipimo basi Wa Mutharika amebakiza siku chache (inasemekana miezi 4) sana za kuishi kutokana na ukweli kwamba ugonjwa wake usingeweza kudhibitiwa tena.

Hivyo kutokana na kwamba miongoni mwa Madaktari waliomfanyia uchunguzi ni waumini wa Mchungaji TB Joshua basi wakamweleza Mchungaji juu ya Afya ya Bwana Wa Mutharika na kwamba ana Maximum ya miezi minne ya kuishi. Na ndiyo maana TB Joshua baada ya kutangaza "kupata maono" akawa anasisitiza watu kumuombea huyo Rais (hakutaja jina) ili kifo kimuepuke, kwamba ni miujiza pekee ingeweza kumwepusha na umauti.

Baada ya "Utabiri" wa TB Joshua inasemekana kuwa Wa Mutharika alijaribu kuwatoa hofu wa Malawi kuwa siyo yeye anayelengwa na kwamba yuko imara kiafya huku mwenyewe akitambua wazi kuwa ndiye mlengwa wa "ule utabiri"

Ngoja niendelee kukusanya data, nitarejea. Kama kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu hili siyo mbaya akaongezea, aidha kwa kukubaliana na hii hoja ama kuipinga.

Mapendo.
TANMO.
 
Biblia inasema Mungu ameweka katika kanisa Mitume, Manabii, Wainjilisti, Wachungaji na Waalimu... kwa ajili ya kuwakamilisha watakatifu/kanisa Waefeso 4: 12 sasa Kanisa lako kama haliamini katika hilo just stay quiet...

Japo ni kweli manabii wa uongo wapo according to the same Bible which mentioned about the types of ministerial callings or giftings that God has given unto the church.... remain blessed!
 
quote"Nikithibitisha machahche kati ya haya nitafungua tovuti maalum ya kupinga unabii wa hawa manabii wa kisasa."
NA UKIDHIBITISHA UKWELI KATI YA HAYA UFUNGUE TOVUTI MAALUM YA KUWASUPPORT UNABII WA HAO MANABII WA KISASA

Ngoja niendelee kuperuzi na kudadisi juu ya mambo haya:
Kuwa Bingu wa Mutharika alikwenda Nijeria kupima afya yake?!, kuwa ilionekana kuwa hali ya afya yake ni mbaya, kuwa ilioneana kuwa hataishi zaidi ya miezi minne?!, kuwa aliwaasa wapgakura wake kuwa utabiri wa Joshua haukuwa unamgusa yeye?!, kuwa daktari aliyemchunguza ni muumini/mshirika wa TB J. ، kuwa daktari wa Bingu alimdokeza TBJ juu ya afya ya Bingu(breach of ethics).?! Na kuwa TBJ akatangaza kiwa ni unabii alionesha na Holy spirit in Jesus christ name?!. Nikithibitisha machahche kati ya haya nitafungua tovuti maalum ya kupinga unabii wa hawa manabii wa kisasa. BTW, kwa kuwa rais wetu mtarajiwa Ndg. Edward Ngoyai Lowasa nae alienda nijeria na kuhudhuria ibada maalum katika sinagogi la TBJ naamini punde unabii utatolewa kuwa Mungu amemteua kuwa rais wa nchi hii iliyokosa mwelekeo. Na si unakimbuka kuwa baada ya ziara ya Mh. Ngoyai kule Nijeria muwakilishi wa TBJ alitoa mchango wa sh. Mil. 10 kwa waathirika wa mabomu ya gongolamboto?
 
Wakuu heshima mbele na Poleni sana kwa Misiba iliyotokea na kuwagusa wengi kwa namna moja ama nyingine. Pia Heri ya Sikukuu kwa wale wanaohusika.

Wakuu kuna hoja nimeipata kutoka kwa Rafiki yangu Mmalawi kuwa Tarehe 28/02/2012 aliyekuwa Rais wa Malawi Bwana Wa Mutharika alienda nchini Nigeria kucheki afya yake iliyokuwa inamsumbua na Madaktari waliomfanyia vipimo wakagundua kuwa kwa mujibu wa vipimo basi Wa Mutharika amebakiza siku chache (inasemekana miezi 4) sana za kuishi kutokana na ukweli kwamba ugonjwa wake usingeweza kudhibitiwa tena.

Hivyo kutokana na kwamba miongoni mwa Madaktari waliomfanyia uchunguzi ni waumini wa Mchungaji TB Joshua basi wakamweleza Mchungaji juu ya Afya ya Bwana Wa Mutharika na kwamba ana Maximum ya miezi minne ya kuishi. Na ndiyo maana TB Joshua baada ya kutangaza "kupata maono" akawa anasisitiza watu kumuombea huyo Rais (hakutaja jina) ili kifo kimuepuke, kwamba ni miujiza pekee ingeweza kumwepusha na umauti.

Baada ya "Utabiri" wa TB Joshua inasemekana kuwa Wa Mutharika alijaribu kuwatoa hofu wa Malawi kuwa siyo yeye anayelengwa na kwamba yuko imara kiafya huku mwenyewe akitambua wazi kuwa ndiye mlengwa wa "ule utabiri"

Ngoja niendelee kukusanya data, nitarejea. Kama kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu hili siyo mbaya akaongezea, aidha kwa kukubaliana na hii hoja ama kuipinga.

Mapendo.
TANMO.

KAMA UMESEMA ALIKWENDA Tarehe 28/02/2012 BASI HABARI YAKO HAINA POINTI SABABU TB JOSHUA ALITOA TAARIFA HIYO KUHUSU KIFO TAREHE 5 FEBRUARY 2012
 
Mmmmmmhhhhhhh......
Makubwa.......
Kufa amekufa tayari hakuna namna.
Kila moja atasema lake sasa.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe... Amen!
Hoja yako umeleta baada ya kifo kabla ya kifo stori ilikuwa imezaga kwamba mugabe ndio ange kufa. .pia Tb joshua alisema bada ya siku 60 ndio ange kufa na yametimia siku ya 60 ndio jamaa kafa we unaleta hoja za miezi minne. .the guy was accurate .ingekuwa kambiwa na madokta nayeye angesema miezi minne,take care usije kuwa una tumika kumshitaia mtu uongo in public. Nilikuwa naskiliza wakaati aki predict abt the death ndio maana nasema hivi
 
Ebwana nakuunga mkono zaidi ya 100% basing on the fact that, baada ya YESU hakuna nabii yoyote aliyetumwa na Mungu, wote vibaka tu.

Soma biblia yako vizuri kitabu ya mwisho kabisha cha agano la kale mistari ya mwisho inasema kabla ya mateso ya sik za mwisho Mungu ata mtma eliya . Soma uta elewa nacho manisha
 
Ebwana nakuunga mkono zaidi ya 100% basing on the fact that, baada ya YESU hakuna nabii yoyote aliyetumwa na Mungu, wote vibaka tu.
Mkuu kuhusu uwepo manabii baada ya Yesu umeteleza kidogo,
Mfano ni Act 11: 27-30 (KJV) 'And in these days came prophets from Jerusalem unto Antioch. And there stood up one of them named Agabus, and signified by the Spirit that there should be great dearth throughout all the world: which came to pass in the days of Claudius Caesar.Then the disciples, every man according to his ability, determined to send relief unto the brethren which dwelt in Judaea. Which also they did, and sent it to the elders by the hands of Barnabas and Saul.'
YESU aliahidi watu/wanafunzi wake watafanya miujiza zaidi ya aliyoifanya.

NB: I'm not sure whether T.B Joshua is a true prophet. But I believe in the presence of prophets.
 
Vitu vingine visome kwanza ndipo u post. Unadanganywa na rafiki yako halafu na wewe waja kudanganya GTs. Bingu hakuwa na saratani hatarishi mpaka apewe siku chache za kuishi. Amekufa kwa Heart Attack (Myocardial Infarction).
Usidanganye watu bwana.

na wewe pia usidanganye watu.kwani kansa haiwezi kusababisha heart attack?
 
Back
Top Bottom