Utaratibu wa kuzika haraka uigwe

mmeanza kutoka shimoni. Maagizo ya Mnyaaaazi Mungu yasipuuuzwe utakuja kukosa mabikra 72 oohooooo
Wewe bikra yako uliipoeza kwa chipsi yai au kwa mabodaboda? naona umeanza kuwaonea wivu wenye bikra zao,
Toka mwanzo nilikuona kua huu mjadala umeingiza udini,ukajaribu kujificha ficha ila wanafiki hua hamjifichi,
Nakukumbusha pia na wewe maagizo ya Papa yasipuuzwe,sasa hivi mnaruhusiwa kwenda kubarikiwa kwa Papa,hamtengwi tena.
 
Hii mtu unafariki leo unazikwa chapu ndani ya siku au siku mbili.

Ni utaratibu mzuri aisee.

□ Unaokoa sana gharama.

□ Familia iliyofiwa ina sevu pesa za kuwasaidia baada ya kuondokewa na mpendwa wao.

□ Unawapa muda wafiwa kusahau machungu ya msiba na kuanza kufocus kwenye maisha mengine.

Maisha yamebadilika sana.
Nyie vibaka ni kuchukua mwili toka kwenye eneo la tukio na kuzika hakuna hata haja ya kupeleka nyumbani.
 
jamaa yetu alifiwa na mkeweusikaze fuzu kiongozi

juzi kati kuna

tumepiga monde pale uwanjani kwake kwa zaidi ya wiki

tunaingia tu kutoka apo kwake. muda wote watu wanakula na kunywa

jamaa alitumia pesa mingi adi unamuonea huruma
kazini tulimpa mkono wa huruma ukaishia kununulia watu visusio apo msibani

msiba huu ninaousimulia, wahusika wote walikuwepo na hakukuwa na kesi mahakamani wala wapi

ni mazoea mabaya tu
Mlimuuliza kilichomfanya asiamue mkewe azikwe baada ya siku ngapi?kama mume kiongozi wa nyumba anashindwa kusimama kama mwanaume kufanya maamuzi ya msingi huyo aliyataka

Na hao ndiyo matajiri wenyewe tunaowazungumzia,kama mliweza kunywa hadi beer na kula huyo siyo maskini maskini angewapikia ubwabwa maharage na maji uhai au afya yale ya Tsh 150 msubiri taratibu nyengine ambapo kwa utaratibu huu hakuna angesogea zaidi mngeenda tu siku ya kuzika lakini kwa sababu palikuwa na starehe hizo ndiyo maana mkaenda kujazana kwake kumtia unachoona wewe ni hasara.
 
Sababu zipo mingi ila sababu kuu niliyo experience huku Kilimanjaro ni kuwa watu wa huku wanatoka mamikoani wengine wamepoteana mamiaka huko na taratibu zao ni kwamba lazima wote wamzike mpendwa wao kwa kadri wawezavyo!!

Hii inapelekea kumvundika marehemu kama ndizi mbivu za kimalindi huku wakiendelea na vikao vyao vya mbege wakijadili nani atanunua tai,suti,socks nk
Ni utaratibu wao tu walivyoamua na wala hakuna chochote kinacholeta athari yeyote mipango ikiwa mizuri
 
Mlimuuliza kilichomfanya asiamue mkewe azikwe baada ya siku ngapi?kama mume kiongozi wa nyumba anashindwa kusimama kama mwanaume kufanya maamuzi ya msingi huyo aliyataka

Na hao ndiyo matajiri wenyewe tunaowazungumzia,kama mliweza kunywa hadi beer na kula huyo siyo maskini maskini angewapikia ubwabwa maharage na maji uhai au afya yale ya Tsh 150 msubiri taratibu nyengine ambapo kwa utaratibu huu hakuna angesogea zaidi mngeenda tu siku ya kuzika lakini kwa sababu palikuwa na starehe hizo ndiyo maana mkaenda kujazana kwake kumtia unachoona wewe ni hasara.
mkuu labda wew hujafikwa na haya mambo

ni hivi yakishakufika iyo shughuli inakuwa sio yako tena

maamuzi yanakuwa ya ndugu na watu wengine hapo nawew mixer ushapagawa unakubali kila unachoambiwa

omba sana isikutokee
 
Usilazimishe Maono yako, Imani yako, Mtazamo wako, Umaskini wako na hulka zako zifuatwe na kila mtu.
Waafrika tuna mila zetu, acheni tuishi kivyetu vyetu. Msiba ni Sherehe, acha tusubiriane tunywe, tule tufurahie Mwisho wa Ndugu yetu.

Wewe Mwarabu Coco endelea na Utumwa wako usitupangie maisha.
Mwarabu coco kaigia vipi hapo?
haya wewe Mzugu poli YESU alizikwa siku ya ngapi?
 
Izo ni shida zako tafta pesa
Ushindwe kuudumia mgojwa mazishi na matanga nayo yakushinde

Km watu pesa ipo ata mwez tunakaa
Afu mambo ya kusahau unaweza sahau ata marehemu akiwa bado ndan kusahau inatokana na mahusiano yako ww na marehemu
 
Usilazimishe Maono yako, Imani yako, Mtazamo wako, Umaskini wako na hulka zako zifuatwe na kila mtu.
Waafrika tuna mila zetu, acheni tuishi kivyetu vyetu. Msiba ni Sherehe, acha tusubiriane tunywe, tule tufurahie Mwisho wa Ndugu yetu.

Wewe Mwarabu Coco endelea na Utumwa wako usitupangie maisha.
Mbona unajibu hoja kwa jazba sana
 
Back
Top Bottom