Utaratibu wa kuzika haraka uigwe

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,757
3,398
Hii mtu unafariki leo unazikwa chapu ndani ya siku au siku mbili.

Ni utaratibu mzuri aisee.

□ Unaokoa sana gharama.

□ Familia iliyofiwa ina sevu pesa za kuwasaidia baada ya kuondokewa na mpendwa wao.

□ Unawapa muda wafiwa kusahau machungu ya msiba na kuanza kufocus kwenye maisha mengine.

Maisha yamebadilika sana.
 
Usilazimishe Maono yako, Imani yako, Mtazamo wako, Umaskini wako na hulka zako zifuatwe na kila mtu.
Waafrika tuna mila zetu, acheni tuishi kivyetu vyetu. Msiba ni Sherehe, acha tusubiriane tunywe, tule tufurahie Mwisho wa Ndugu yetu.

Wewe Mwarabu Coco endelea na Utumwa wako usitupangie maisha.
 
Mkuu mbona hata ukiuiga wewe inatosha tu?
 
Usilazimishe Maono yako, Imani yako, Mtazamo wako, Umaskini wako na hulka zako zifuatwe na kila mtu.
Waafrika tuna mila zetu, acheni tuishi kivyetu vyetu. Msiba ni Sherehe, acha tusubiriane tunywe, tule tufurahie Mwisho wa Ndugu yetu.

Wewe Mwarabu Coco endelea na Utumwa wako usitupangie maisha.
Hajalazimisha mkuu. Yeye ametoa maoni yake. Kumbuka hili nijukwaa huru
 
Hii mtu unafariki leo unazikwa chapu ndani ya siku au siku mbili.

Ni utaratibu mzuri aisee.

□ Unaokoa sana gharama.

□ Familia iliyofiwa ina sevu pesa za kuwasaidia baada ya kuondokewa na mpendwa wao.

□ Unawapa muda wafiwa kusahau machungu ya msiba na kuanza kufocus kwenye maisha mengine.

Maisha yamebadilika sana.
Kama huna hela na unataka kuokoa gharama ni wewe.

Huwa kuna sababu za msingi za kuchelewa kuzika.
 
Tafuta hela!
Hii mtu unafariki leo unazikwa chapu ndani ya siku au siku mbili.

Ni utaratibu mzuri aisee.

□ Unaokoa sana gharama.

□ Familia iliyofiwa ina sevu pesa za kuwasaidia baada ya kuondokewa na mpendwa wao.

□ Unawapa muda wafiwa kusahau machungu ya msiba na kuanza kufocus kwenye maisha mengine.

Maisha yamebadilika sana.
 
Hajalazimisha mkuu. Yeye ametoa maoni yake. Kumbuka hili nijukwaa huru
Usijali, sitishwi na yyte humu

Nimeongea kwa uzoefu wa kuangalia familia nyingi zinavyopata shida na kuingia kwenye wimbi la madeni baada ya kumalizika msiba.

Unakuta ndugu na majirani wanakaa hapo msibani kwa wiki au wiki mbili muda wote huo wanakula na kunywa kwa gharama ya mwenye msiba au kutegemea vimichango vichache vinavyotolewa hapo.

Waswahili tusipobadili baadhi ya hizi tamaduni zetu za kale tutasubiri sana.

Maisha yamebadilika sana inabidi nasisi tubadilike.
 
Ww unatoa maoni ya imani yako
 
Usilazimishe Maono yako, Imani yako, Mtazamo wako, Umaskini wako na hulka zako zifuatwe na kila mtu.
Waafrika tuna mila zetu, acheni tuishi kivyetu vyetu. Msiba ni Sherehe, acha tusubiriane tunywe, tule tufurahie Mwisho wa Ndugu yetu.

Wewe Mwarabu Coco endelea na Utumwa wako usitupangie maisha.
Mbona povu? ni wapi mleta mada ametaja udini au ukabila?

Hili ni jukwaa huru,ametoa maoni yake yeye kama yeye,sasa wewe unapoleta udini tukueleweje?
 
Back
Top Bottom