Utaratibu wa kuzika haraka uigwe

Usilazimishe Maono yako, Imani yako, Mtazamo wako, Umaskini wako na hulka zako zifuatwe na kila mtu.
Waafrika tuna mila zetu, acheni tuishi kivyetu vyetu. Msiba ni Sherehe, acha tusubiriane tunywe, tule tufurahie Mwisho wa Ndugu yetu.

Wewe Mwarabu Coco endelea na Utumwa wako usitupangie maisha.
Ni kweli kabisa, kukaa na marehemu siku 5 siyo kabisa, mazishi ya waislamu nayakubali sana hayana mambo mengi sana, ni chap chap
 
Hii mtu unafariki leo unazikwa chapu ndani ya siku au siku mbili.

Ni utaratibu mzuri aisee.

□ Unaokoa sana gharama.

□ Familia iliyofiwa ina sevu pesa za kuwasaidia baada ya kuondokewa na mpendwa wao.

□ Unawapa muda wafiwa kusahau machungu ya msiba na kuanza kufocus kwenye maisha mengine.

Maisha yamebadilika sana.
Usiwapangie watu maisha
 
Disemba 28, 2021 nilimpoteza ndugu yangu Muhimbili.

Tarehe 29 tukaweka kikao.

Tarehe 30 tukasafirisha.

Tarehe 31 tukampumzisha.

Siku hiyo hiyo watu wakarudi Dar Es Salaam isipokuwa mimi.

Inasaidia sana kuokoa gharama na kurudisha watu katika hali ya kawaida kwa haraka zaidi.
 
Mbona povu? ni wapi mleta mada ametaja udini au ukabila?

Hili ni jukwaa huru,ametoa maoni yake yeye kama yeye,sasa wewe unapoleta udini tukueleweje?
Utaratibu wa kuzika haraka ni wa dini ipi? Nyie kama mnaona kero Anzeni kuzika pindi wanapoumwa tu kwanini msubiri wazimie mnawazika chaap!
Huo utaratibu wa kuzika Chaap kuna people zimezikwa zikiwa hazijafa, zilikosa nafasi ya kupiga chafya.
Sasa mnataka woote tuige kuzika miiili ikiwa ya moto, ndio tunawaambia sisi tutasubiri sana tu. Na nyie ongezeni haraka fanyeni hivi, wakizilai tu kimbieni mkazike hakuna wa kuwazuia.
 
Kunywa maji utulie kwanza,presha ya nini?

People gani hizo zimezikwa zikiwa hazijafa? nani alithibitisha kua wapo hai ndipo wakazikwa?

Toka mmeanza kuchelewesha kuwazika wafu wenu,ni wangapi wameshapiga chafya mpaka sasa?
 
mmeanza kutoka shimoni. Maagizo ya Mnyaaaazi Mungu yasipuuuzwe utakuja kukosa mabikra 72 oohooooo
 
Usijali, sitishwi na yyte humu

Nimeongea kwa uzoefu wa kuangalia familia nyingi zinavyopata shida na kuingia kwenye wimbi la madeni baada ya kumalizika msiba.

Unakuta ndugu na majirani wanakaa hapo msibani kwa wiki au wiki mbili muda wote huo wanakula na kunywa kwa gharama ya mwenye msiba au kutegemea vimichango vichache vinavyotolewa hapo.

Waswahili tusipobadili baadhi ya hizi tamaduni zetu za kale tutasubiri sana.

Maisha yamebadilika sana inabidi nasisi tubadilike.
Kuchelewa au kuwahi wala sio uataratibu WA lazima ukiona wame chelewa ujue ipo sababu ya msingi wafiwa wameona wasubiri,,

Mbona mwengine wanazika kwa KUWAI?

Ukiona Wana lalama maden basi ujinga wao wenywee achana nao
 
Hii mtu unafariki leo unazikwa chapu ndani ya siku au siku mbili.

Ni utaratibu mzuri aisee.

□ Unaokoa sana gharama.

□ Familia iliyofiwa ina sevu pesa za kuwasaidia baada ya kuondokewa na mpendwa wao.

□ Unawapa muda wafiwa kusahau machungu ya msiba na kuanza kufocus kwenye maisha mengine.

Maisha yamebadilika sana.
Mleta mada Tafuta hela wewe una mawazo ya kimaskini hadi kwenye kuzika
 
Unaweza kuta kazimia kuchelewa chelewa mara maiti kapiga chafya
Ndio maana wanaijeria wanakusubirisha Mwezi mmoja siku 31 huzikwi unasikiliziwa tu ukivuka hizo hujaamka ndio wanaenda kukuzika, Mr Ibu anazikwa Mwezi ujao kafa Mwezi huu, Mama yao P Square alizikwa baada ya Mwezi 1 kupita, Mtoto wa Dbanj Mtoto wa Davido wote walizikwa baada ya Mwezi 1 kupita, Mama yake WizKid alizikwa baada ya Mwezi 1
 
Back
Top Bottom