Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

Nilivyo bahili mimi, naacha buku tu ya mboga za majani. Kama ni samaki, kuku, nyama nk viko kwenye jokofu.

Mafuta nina galon ya 20ltrs kutoka Singida, unga upo kiroba, mchele kilo 30, na umeme unit kama zote.

Wote wana bima za afya. Gari yangu yenyewe naitumia mara moja tu kwa wiki kubana matumizi ya mafuta, matairi, kuokoa km 3000 za service nk.

Mbaya zaidi sitajiriki, kwanini? Au nimekufa hamtaki kuniambia?
Mkuu umekufa inabidi tukwambie tu mana hakuna namna!!
 
Kingine mtoa mada,
Hatar uaeke stock Kia's gani.

huna namna Unaweza kukwepa kuacha posho ya meza,Kuna vitu haviwekwi stock

Afu mwanaume kwenda kwenda sokoni na kulalamika lalamika Mambo ya misosi, hii haileti afya kwenye familia

UTAKUJA kupigwa mwiko na mkeo jikoni afu iwe aibu
 
Hii ya kununua stock nilishaikataa, familia inajikuta imebanwa kwenye menu za Aina Fulani fulan tu.

Ukiacha Ela,
wife ATAJUA jins ya kubalance ule menu tofaut tofauti kulingana na alichokikuta sokoni
 
Nilivyo bahili mimi, naacha buku tu ya mboga za majani. Kama ni samaki, kuku, nyama nk viko kwenye jokofu.

Mafuta nina galon ya 20ltrs kutoka Singida, unga upo kiroba, mchele kilo 30, na umeme unit kama zote.

Wote wana bima za afya. Gari yangu yenyewe naitumia mara moja tu kwa wiki kubana matumizi ya mafuta, matairi, kuokoa km 3000 za service nk.

Mbaya zaidi sitajiriki, kwanini? Au nimekufa hamtaki kuniambia?
Mchepuko unaupa.sh ngapi??
 
:D :D :D :D Hujafa bado uko hai usiogope.
 
Hawa wetu wa kiswahili utawek 500k imalize mwez ikifik wiki mbili anakuambia mjomba alimeza shoka sijui mara mama kaanguka ilimrad tu uambiwe imeisha

Tuendelee tu kuwek mezan kila siku asubuh
Sahii kabisa,
Bado utaratibu wa kugawa vyakula kwa majirani vikiwemo ndani vingi
 
Kingine mtoa mada,
Hatar uaeke stock Kia's gani.

huna namna Unaweza kukwepa kuacha posho ya meza,Kuna vitu haviwekwi stock

Afu mwanaume kwenda kwenda sokoni na kulalamika lalamika Mambo ya misosi, hii haileti afya kwenye familia

UTAKUJA kupigwa mwiko na mkeo jikoni afu iwe aibu
Wewe itakua unakipato cha uhakika kwa mwezi, ungekua unaishi maisha ya pata potea usingeongea haya.
 
Hasa sisi tunaoishi mijini, kumekuwa na changamoto katika utunzaji wa familia zetu. Kwa walio wengi, hupenda kila siku kuacha hela za matumizi kwa familia zao; wapo wanaoacha elfu kumi kwa siku, ishirini, laki n.k

Na waachapo hiyo fedha, ndio inayofanya manunuzi ya chakula kwa siku husika. Ndio maana wengine wakaamua kuibatiza na kuiita kodi ya meza, au wengine wanaiita kodi ya kitanda n.k

Kwangu binafsi nilishawahi kutumia hiyo fomula, lakini nikaona nakuwa mtumwa wa kila siku. Usipokuwa na fedha kwa siku husika au pungufu, mambo yanakuwa hayaeleweki eleweki.

Baada ya kujitafakari kwa kina, nikagundua hii njia sio sahihi kwa sababu unakuwa unahangaikia tumbo tu, na mambo ya msingi ya kimaendeleo yanakuwa hayaendi.

Kwa mtazamo wangu, pale upatapo hela, weka 'stock' ya chakula hata miezi sita kutokana na uwezo wako. Fedha ndogo ndogo za kubadilishia mboga kwa siku, mkabizi mke au mtu anayesimamia mambo ya ulaji wa familia.

Hata kama kipato chako ni kidogo, jaribu kujikusanya na uweke 'stock'. Baada ya hapo, hela utakayokuwa unaipata kutokana na jitihada zako, wekeza kwenye mambo yako ya msingi ya kimaendeleo.

Hii itapunguza msongo wa mawazo, hasa pale uchumi wako utakapokuwa unatetereka; kwa sababu familia yako haitalala njaa, lakini pia mambo yako ya msingi yanakuwa yamepiga hatua.

Kwa hali hiyo, huu utaratibu wa kutoa hela ya matumizi kwa kila siku husika, naona sio mzuri.

Njooni kwenye mjadala....

Experience yangu nimefanikiwa kumfanya wife atunze familia kwa kumpa mradi mdogo afanye na kupata ela.

Mi nikirudi msosi mzuri upo nakula na ela zake ana manage mwenyewe akikwama kabisa labda kitu kinataka bajeti kubwa ndo anakuja kwangu otherwise mambo ya familia anamaliza mwenyewe kwa kimradi anachoendesha.

Mwanzo nilikuwa namsimamia saiv kasimama anaenda mwenyewe tena anajituma kweli kweli
 
Nilivyo bahili mimi, naacha buku tu ya mboga za majani. Kama ni samaki, kuku, nyama nk viko kwenye jokofu.

Mafuta nina galon ya 20ltrs kutoka Singida, unga upo kiroba, mchele kilo 30, na umeme unit kama zote.

Wote wana bima za afya. Gari yangu yenyewe naitumia mara moja tu kwa wiki kubana matumizi ya mafuta, matairi, kuokoa km 3000 za service nk.

Mbaya zaidi sitajiriki, kwanini? Au nimekufa hamtaki kuniambia?
Kmly
 
Hawa wetu wa kiswahili utawek 500k imalize mwez ikifik wiki mbili anakuambia mjomba alimeza shoka sijui mara mama kaanguka ilimrad tu uambiwe imeisha

Tuendelee tu kuwek mezan kila siku asubuh
 
Wewe itakua unakipato cha uhakika kwa mwezi, ungekua unaishi maisha ya pata potea usingeongea haya.
Hakuna pata potea anaweza kununua stock ya chakula nyumbani.
Hesabu Ni zile zile mkuu
 
Kodi ya meza ipo siku itakumeza .
Yote kwa yote kipato kikiwa kuzuri hatuwezi kulalamika wala kuulizia chenji.
Binafsi nina mwaka wa 6 kwenye ndoa na utaratibu wangu ni kumpa pesa wife karibu zote ninazozipata. Kisha namwambia hii ya akiba, hii ina kazi fulani na hii tumia kwa matumizi ya nyumbani kadri utakavyo.
Usiache hela kila asubuhi you will die immediately , nadhani kuacha PESA kila asubuhi ndio chanzo cha migogoro mingi katika ndoa maana siku ukifulia si rahisi kueleweka. Pia pesa akitunza mwanamke inakuwa ina baraka na atapanga bajeti za nyumbani vizuri.
Kuhusu kuweka akiba ya chakula karibu kila mwanaume anatamani kufanya hivyo tatizo ni kipato.
Ndo utaratibu naottumia pia wife ndo cashier au mhasibu wa familia yangu
 
Nilivyo bahili mimi, naacha buku tu ya mboga za majani. Kama ni samaki, kuku, nyama nk viko kwenye jokofu.

Mafuta nina galon ya 20ltrs kutoka Singida, unga upo kiroba, mchele kilo 30, na umeme unit kama zote.

Wote wana bima za afya. Gari yangu yenyewe naitumia mara moja tu kwa wiki kubana matumizi ya mafuta, matairi, kuokoa km 3000 za service nk.

Mbaya zaidi sitajiriki, kwanini? Au nimekufa hamtaki kuniambia?
Bujibuji acha uhuni 😂 Aisee nimecheka sana.
 
Hii kitu ya kuacha kila siku inatesa sana ilinisumbua wakati fluni, nilichofanya kwanza nilimwambia wife naomba ahudumie issue ya chakula kila siku, kudumiaha nyumba kulipa mtoto wa kazi, nguo za watoto, mimi nipambane na mambo kama ada za watoto, umeme, mafuta ya gari, ujenzi na gasi.

Ingawa wakati mwingine huwa nanunua samaki, nyama nk kumpunguzia headach maana wakaati mwingine unaona wamefululiza aina fluni ya mboga hasa maharage
Mkuu unakosea sana, kiafrika jukumu la kulisha familia ni la Mume, ungejitahidi kadri uwezavyo jukumu la chakula liwe la kwako halafu huko kwingine mchangio wote kwa pamoja. Acha kula chakula cha mwanamke ndugu.

Lakini kama mkeo karidhika Mimi ni nani niwapangie? Nilikuwa najaribu kushauri tu.
 
Back
Top Bottom