Mkuu umekufa inabidi tukwambie tu mana hakuna namna!!Nilivyo bahili mimi, naacha buku tu ya mboga za majani. Kama ni samaki, kuku, nyama nk viko kwenye jokofu.
Mafuta nina galon ya 20ltrs kutoka Singida, unga upo kiroba, mchele kilo 30, na umeme unit kama zote.
Wote wana bima za afya. Gari yangu yenyewe naitumia mara moja tu kwa wiki kubana matumizi ya mafuta, matairi, kuokoa km 3000 za service nk.
Mbaya zaidi sitajiriki, kwanini? Au nimekufa hamtaki kuniambia?