Utani mwingine hata haufaiiiiiiiiiii...........

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Sikilizaa maongezi haya katika simu

Girl: hellow
Boy: swty mambo vipi?
Girl: poa
Boy: utakua free weekend? Nilikua nataka uje nyumbani kwangu.
Girl: oh sorry, sitoweza kuja b'se kuna harusi ya aunty yangu na siku ya pili kutakua na wageni nyumbani
Boy: kama ni hivyo sawa just nilikuwa nataka nikufanyie suprise nimekunulia blackberry
Girl: oh usijali mpenzi wangu ntakuja, hata ukitaka nilale uko uko nitalala
Boy: vipi kuhusu harusi?
Girl: harusi ipi? Nlikua nkutania honey
Boy:eek:k Na mimi pia nilikua nakutania.

Unafikri maongezi yalikuwaje baada ya hapo?
 
Ayaa angemkandamiza kwanza ndo angempa kubwa hapo lazima angezima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom