IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,216
- 1,906
He needs to be principled and up held rules of Good Governess and avoid to use his personel intuitions to guide his dudgement in matters of national interests
Kaka dakika mbili zingeisha hata hujamaliza. Inatakiwa sentesi fupi yenye ujumbe mzitoMh. Jakaya Kikwete, CCM kujivua gamba, suala lisiwe kujisafisha tu bali kuleta maendeleo kwa wananchi
*Kama ni kweli kauli yako kuhusu kujivua gamba kama nyoka ulimaanisha CCM ni kama nyoka, ujumbe huo
utakuwa na maana kuwa tumeshang'atwa sana na nyoka (CCM) huyu na sasa utakuwa umetambua kile
kinacholalamikiwa muda mrefu na wananchi kuhusu IPTL, Deep Green, Meremeta, Richmond/DOWANS, EPA na
mengine kibao. Hivyo gamba jipya litusaidie kumwona nyoka huyo hata kama atajificha gizani.
*Kama kweli wewe na Chama Cha Mapinduzi mna nia ya dhati kujivua gamba na kuwatumikia wananchi,
mnapaswa muanze sasa kuwekeza katika kuhakikisha kunakuwepo uwiano sawa kwenye mgawanyo wa rasilimali
ili kwenda sawa na kaulimbiu yako ya Maisha bora kwa kila Mtanzania.
*Najua unalewa kuwa asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania wanaishi vijijini kwa kutegemea jembe la mkono,
kipato wanachopata kutokana na kilimo cha aina hiyo hakiwasaidii kukidhi mahitaji yao muhimu ya kila siku. Ile kauli
ya mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe ingekuwa na ukweli, wananchi wa Tanzania wangekuwa matajiri.
*Rais, wananchi wanalalamika kuwa wakija mijini hali bado ni ngumu wakati nyinyi tuliowapa dhamana ya kuweka
mazingira hayo mmelala usingizi na kufikiria jinsi ya kutengeneza mikataba feki ili mchote fungu mnaloliona lipo 'idle' .
*Ni wakati sasa uelewe kuwa Watanzania siyo wavivu kama unavyofikiria, uchumi siyo kutoa takwimu tu bali
kuwawezesha Watanzania kuwa na matumaini ya kuuza mazao yao kwa wakati kutoka mashambani. Kwa hiyo kujivua
gamba kwa chama chako kusiishie kwenye kubadilisha uongozi tu, unapaswa uyaone haya na kuyatekeleza kivitendo.
Naomba kuwasilisha...
<br />ningempinga makwenzi kichwa may be zingecharge akili ajue nini lakufanya
Ningemuuliza mambo mawili...........Mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya Umma wa Tanzania??
ningemwambia watu wanakutania hivi mkuu wa nchi " palitokea mkutano wa madaktari bingwa dunianikutoka nchi tatu,China, Ugerumani na Tanzania. Wakawa wanajadili mafanikia yaliyofanywa na ktk nchi zao. Mchina akaanza, kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamwekea wa bandia na sasa ni mpiganaji wa karate. Mjerumani... hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu yote tukamwekea ya bandia na sasa ni mkimbiaji olimpiki na ana medali 3 za dhahabu. Mtanzania......., akacheka akasema kwenu bado hamjafikia kiwango rekodi yetu, sisi hapa bagamoyo alizaliwa mtot hana kichwa tukamwekea Nazi na sasa ni RAISI"
<br />Mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya Umma wa Tanzania??