Utamwambia nini Rais JK?

Mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya Umma wa Tanzania??
ningemwangalia kwa macho makavu dakika 5 bila kuongea chochote then naondoka zangu.
 
vunja baraza la mawaziri, unda upya kama umejifunza kitu katika udhaifu walioonesha. Ngeleja afunguliwe mashataka


Ningemwambia hasisikilize watu wenye hoja za faida binafsi....na asikilize hoja za kitaifa.

Na watu wanautaka uwaziri wa ngereja nao wakle tu hamna lolote.

Amchague wazira wa Nishati ridhiwani
 
Nitamwambia atangaze kwamba chadema ni chama makini.na awaombe radhi watanzania kwa chama chake kilivyowahadaa na kwa kuwapa ahadi za maisha bora kwa kila mtanzania kuwafanya kua masikini.kisha turudi katika uchaguzi.
 
Hujawahi na huna sifa ya kuwa rais, Step down. Pia uwaambie familia yako waache kuiibia nchi. Halafu ntamkumbusha methali ya wahenga kwamba ukimwona mwenzio ananyolewa... Amwangalie Mubarak na wanawe.
 
dakika 2 ni nyingi sana, nikipewa hata nusu dakika namchaza ile mbaya nampa za uso na shingo,............ kumshaurin jk ni sawa na kushauri jiwe
 
Mimi ninge muuliza hivi anatambua kua yeye ni Raisi waTanzania ? sababu sijawahi sikia ama kuona ametusaidia chochote .
ame acha nchi kama haina raisi . angalia vifutavyo
1. umeme kashindwa kutatua ,
2. ishu yamafuta nayo imemshinda ,
3. usafiri treni na ndege umemshinda ,
4. thamani ya shilingi inazidi kuporomoka ,
4. alituahidi kua kila mwezi ata hutubia nayo imemshinda ,
5.sera alio ianzisha ya magamba nayo imemshinda ,
7.rushwa nayo imemshinda ,
8.Madawa yakulevya pamoja na ana majina yao nalo limemshinda ,
9. Mafisadi nao wame mshinda .

hi ni utendaji wa kila siku sijaongelea ahadi zake
kwakweli sijui ni nini ambacho ameweza kufanya na akatimiza.
 
Nitatabasamu, nicheke kidogo kisha nimuombe hela au aniunganishe na Rizwani ili niwe mtu wa madili kama Riz
 
Mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya Umma wa Tanzania??
jiuzuluitishauchaguzihamaTanzaniarudishamalizetuondokanaweziwotenawarudishemalizetukablayahayotuombemsahamakwakutudanganyanakutujeruhikiasiwatuwamepotezauzalendo

ni maneno bila ya nukta kwa maana dk 2 ni chache ya kumueleza mengi
 
ningemwambia watu wanakutania hivi mkuu wa nchi " palitokea mkutano wa madaktari bingwa dunianikutoka nchi tatu,China, Ugerumani na Tanzania. Wakawa wanajadili mafanikia yaliyofanywa na ktk nchi zao. Mchina akaanza, kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamwekea wa bandia na sasa ni mpiganaji wa karate. Mjerumani... hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu yote tukamwekea ya bandia na sasa ni mkimbiaji olimpiki na ana medali 3 za dhahabu. Mtanzania......., akacheka akasema kwenu bado hamjafikia kiwango rekodi yetu, sisi hapa bagamoyo alizaliwa mtot hana kichwa tukamwekea Nazi na sasa ni RAISI"
 
Mhe. Rais Kikwete: unafahamu kuwa "ukubwa ni jaa", na washabiki wanaumwa kuliko wachezaji enheee, basi hebu wape Chadema muda uliobaki wa kipindi chako waongoze wao na uwape sharti moja tu watekeleze, "Maisha bora kwa kila Mtanzania".
 
Back
Top Bottom