Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
Ni mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya wasichana kuwa si waaminifu kwa wapenzi wao hali inayonipa wakati mgumu mimi ambaye nafikiria kutafuta msichana ambaye ntamsoma tabia na ikiwezekana awe 'my wife'. Kwa anayejua namna au jinsi ya kumtambua mwanamke mwaminifu tusaidiane, ni hayo tu! Bwana awe nanyi na Asanteni!