Utamtambuaje msichana mwaminifu?

Finder boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
608
150
Ni mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya wasichana kuwa si waaminifu kwa wapenzi wao hali inayonipa wakati mgumu mimi ambaye nafikiria kutafuta msichana ambaye ntamsoma tabia na ikiwezekana awe 'my wife'. Kwa anayejua namna au jinsi ya kumtambua mwanamke mwaminifu tusaidiane, ni hayo tu! Bwana awe nanyi na Asanteni!
 
Mbona hiyo ni kazi ndogo sana? cha kufanya mtengenezee chupi za bati,kisha nunua kufuli kubwa ya shaba....kila atokapo bila
wewe unampiga kufuli alafu funguo unabakinazo wewe mwenyewe....kwa utaratibu huu utaishi nae miaka 100.
karibu sana JF
 
hiyo chupi ya bati isizibe kote mkuu, angalau mwachie sehemu ndogo ya kuendea haja kubwa teh teh teh
 
..ni hadi we mwenyewe uwe mwaminifu..good luck kaka nategemea kukuona tena hapa mahala ukitupatia matokeo ya kutafuta kwako..
 
hiyo chupi ya bati isizibe kote mkuu, angalau mwachie sehemu ndogo ya kuendea haja kubwa teh teh teh
Mkuu ni bora izibe kotekote,kwani wabongo hawana imani....hiyo sehemu unayosema isizibwe ndiyo kabisaaaa!!!! yaani ni bora
izibwe wakose kote kote
 
Rahisi. Waaminifu wapo. Tena hata ukimwangalia machoni anaonekana. Tatizo ni kutaka kupata vidada Club na Mcity! Otherwise

jenga urafiki wa kawaida na huyo unayetaka kujua uaminifu wake. Tazama kama anakauli zilizonyooka. Ana uhuru kiasi gani

wakujieleza? Ana network ya mawasiliano kiasi gani? Je ana safari zisizo na maelezo ya kuelewaka kiasi gani? Ana wajomba,

mashangazi, kaka, dada ni binamu wa ngapi? Inawezekana kabisa kujua. Na hasa kama we ni mwaminifu ni zaidi sana kujua!
 
Ni mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya wasichana kuwa si waaminifu kwa wapenzi wao hali inayonipa wakati mgumu mimi ambaye nafikiria kutafuta msichana ambaye ntamsoma tabia na ikiwezekana awe 'my wife'. Kwa anayejua namna au jinsi ya kumtambua mwanamke mwaminifu tusaidiane, ni hayo tu! Bwana awe nanyi na Asanteni!

Uaminifu ni siri ya mtu moyoni mwake. Ni vigumu sana kumtambua mwanamke muaminifu kwa kuangalia tu matendo au muonekano wake!
 
.... wadada waaminifu watapatikana pale ambapo wanaume watakuwa waaminifu, unless wanaume wawe wanacheat na mabasha na was.nge...

....wewe tafuta mdada unayempenda basi, na concentrate kwenye upendo wako kwake; mengine muombe Mungu basi...
 
Unachoweza ni kuomba upate aliyetulia maana wengi wanaongozwa na tamaa, mbaya zaidi haitambuliki kirahisi.
 
Ndiyo maana mimi nina miaka 65 lakini sijaoa, nimeshindwa kupata mwaminifu kabisaa. Kuliko kuusononesha moyo wangu bora niendelee kuwa alone.
 
Tuko pamoja mkuu_ingawa wewe umri kidogo umenizidi(mimi nina 54 yrs)......lakn full furaha,...mimi nachagua sura wala hivi vigezo vya uaminifu havinisumbui,...maake sio muoaji.
 
Ndiyo maana mimi nina miaka 65 lakini sijaoa, nimeshindwa kupata mwaminifu kabisaa. Kuliko kuusononesha moyo wangu bora niendelee kuwa alone.

Swali kabla ya kutoa comments zangu:
UNA (M/WA) WATOTO HATA WA KUSINGIZIWA?

Ukinijibu, ntakwambia kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom