Utambulisho

mama,baba dada na kaka shkamooni na poleni na majukumu yenu. Nimeamua kufanya uamuzi wa kujiunga nanyi ili kuelimika na kuwa na ufahamu zaidi kwani palipo na "great thinker" kuna elimu iletayo maarifa. Naomba kwenu wakubwa zangu pale nitakapokosea mniadhibu kwa upendo bila upendeleo.
Nawasilisha.

ila sasa we mtoto inabidi ukikuta wakubwa zako tunaongea ya kikubwa ujifunike na blanketi usione wala usikie tunachojadili
 
ahsante mkuu. Naruhusiwa kuijsikia kama nipo nyumbani?

nina mashaka na ukiwa nyumbani kwenu huwa unafanyaje hapa ukihitaji private unaenda chooni hatufanyii hadharani jiskie uko jukwaani na kila mtu anakutizama na kukusikiliza unachosema kazi ni kwako kama vodacom
 
ahsante mkuu. Naruhusiwa kuijsikia kama nipo nyumbani?
with my view again jiskie upo jukwaa la udaku vimbwanga na vizabinabina na ukianzisha tread hakikisha watu wanacheka ikishindikana hata watabasamu baada ya kuirusha finginefyo utabalaswa na kurushwa kichurachura na wanajf na utaona kama upo jeshini ni angalizo tu
 
point taken mkuu, nitazingatia as per jf rules
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom