Utamaduni wa wanaume kupiga wanawake umepitwa na wakati

kmdh

JF-Expert Member
May 19, 2010
503
120
Habarini wakuu

Huyu dada hata kama ametembea nje ya ndoa, kupigwa kama mnyama ni haki kweli. Hii imekuwa ni tabia ya baadhi ya wanaume wengi kuwapiga wanawake wao kama wanapiga ngoma.

Tazama video hiyo namna mwanaume anavyompiga mwanamke kama anaua nyoka.Mi ninavyoona utamaduni wa mwanume kupiga mwanamke umepitwa na wakati.

Nawasilisha kwa majadilianao

Last edited by a moderator:
Kuna siku nilishuudia jamaa akimpiga mkewe kule Kahama bahati mbaya nilikuwa kwenye basi naenda Dar lkn kama isingekuwa hivyo basi ningeingilia na kutandika mpuuzi yule. Mwanamke akileta za kuleta mpe kikaratasi aende kwao KITUO siyo kumpiga kama vile, yaani zaidi ya kipigo anachopata huyu bi dada hapo
 
Kwako tu mwanamke bila fimbo hiyo sio ndoa, ndoa nyingi zimevunjika kutokana na wanaume kulegea legea kiasi kwamba inapita hata mwezi bila bakora kwa mke wake.
 
Kuna siku nilishuudia jamaa akimpiga mkewe kule Kahama bahati mbaya nilikuwa kwenye basi naenda Dar lkn kama isingekuwa hivyo basi ningeingilia na kutandika mpuuzi yule. Mwanamke akileta za kuleta mpe kikaratasi aende kwao KITUO siyo kumpiga kama vile, yaani zaidi ya kipigo anachopata huyu bi dada hapo

Unajidai kuingilia ugomvi unaishia kulambwa mkono! Wacha wapigwe, ulishaona wapi wana-save namba kwa jina la mwenyekiti Wa Vicoba kumbe ni mchepuko! "They deserve the beating!" Kuna vingine vinasave "mteja" ili siku ukikakamata kanajidai ni mteja Wa dukani kwangu! Sen.zy type kabisa wacha wapigwe!
 
Kumpiga mwanamke?aiseee sitathubutu,tusilazumishe mahusiano,Kama mmeshindana ni bora mkaachana kwa wema tu,kuliko kupeana vilema na matokeo yake kufungwa jela...
 
Kumpiga mwanamke?aiseee sitathubutu,tusilazumishe mahusiano,Kama mmeshindana ni bora mkaachana kwa wema tu,kuliko kupeana vilema na matokeo yake kufungwa jela...

Sasa huko sio kupiga ni kutaka kuua bila kukusudia.
Kibao mara moja moja akizingua sio mbaya ili kuonesha msisutizo kuwa hatupendi ulichofanya.
 
Unajidai kuingilia ugomvi unaishia kulambwa mkono! Wacha wapigwe, ulishaona wapi wana-save namba kwa jina la mwenyekiti Wa Vicoba kumbe ni mchepuko! "They deserve the beating!" Kuna vingine vinasave "mteja" ili siku ukikakamata kanajidai ni mteja Wa dukani kwangu! Sen.zy type kabisa wacha wapigwe!

Mtu ampige binadamu mwenzio kama nyoka hadi kutaka kumuua nyie mnaagalia tu kisa mchepuko mie siko hivyo ningeingilai tu. Sasa kama huyo binti hapo angekufa watu wale wangesema nini hasa wanaume walioko hapo
 
Back
Top Bottom