Utamaduni wa wahaya na kifo cha kanumba

Hawa walikuwa na mgogoro na baba wake, ila ina maana baba naye kasusa mazishi ya mwanae?

Hivi kiafrika, msiba una mwaliko??

Au alitaka abembelezwe na nani wakati Kanumba keshajiondokea?

Baba ake naye ni tatizo tu.
 
Mila za wahaya zinakubali mtu azikwe kwa baba yake kama ni me...kama ni ke na kaolewa basi azikwe kwa mpenzi mumewe..Mila za kiislam zinatutaka mtu akifa azikwe pale alipofia na azikwe haraka asisafirishwe kwa kua ardhi ni ile ile tu, hii inasaidia kuepuka gharama zisizo na ulazima afu vilevile kuepuka kumsubua maiti mara huku mara kule na adha nyingine kama maiti ikianza kuharibika

hivi watu mkoje nyie?? Nani kakuuliza mazishi ya kiislamu na umuhimu wake!? Kanumba sio muislamu kwanza sijui hayo maneno yanini hapo juu.
 
Huyu kanumba naomba akazikwe kwetu Bukoba huo ndio utaratibu kwani baba yake hatumtambui! Mbaya zaidi kama hakulipa mahari.. Hakuna jinsi apelekwe Bukoba,alafu kuzika kwa wanyamahanga sio vizuri.R.I.P KANUMBA THE GREAT
 
halafu nahisi wanawake wa kihaya ni Tatizo.nimejionea wengi wanaachana na waume zao na kubaki na watoto.

mnaoa wahaya bila kujipanga,mlilipa mahari nyie? Au mnachukua mkizani wahaya wanaolewa kwa mfumo wa chagulaga.. Tena mtanyang'anywa sana msipo badilika.
 
mkuu sio unaisi awo watu ni tatizo,wanajiona kama walizali tanzania kwa baati mbaya ovyo sana hawa watu.

ndugu yangu wahaya sio bei rahisi kiasi hicho kama umeoa na hukuwai kufika hata kwao usitegemee kuchukua mtoto ata kumzika akifariki.
 
Aisee mimi nilikuwa najiuliza inakuwaje hawa wasanii wanaongelea mipango ya harusi kwa kumshirikisha mama wakati yeye amesema baba yake yupo na hawana ugomvi? Pacho mwamba alipoulizwa na ile TV ya mchangani tv mawingu kuhusu haki za Kanumba akasema mama yake ndio atachukua. Sidhani kama baba ya Kanumba ametendewa haki, hii ni kwa kuwa wanawake wakiachwa huwa wanawajaza uongo watoto kuwa baba ndiye mbaya kuficha upuuzi walioufanya ukasababisha ndoa kuvunjika. Mtoto asipochanganya na zake anaishia kumchukia au kumdharau baba yake
 
Msiba una mwaliko???

Baba yake kaja???

Kama hajaja, changanya zako pia

nini kinamsuta kiasi hicho??

Nakushauri muda unaotumia kutuponda wahaya jaribu kuutumia kujifunza jinsi ya kuandika kiswahili.

Tatizo lenu nshomile mnafikiri bado tuko zama zile za Tanzania ya wanyonge. Tumeishawa neutralize saizi hata Heineken hamnywi tunakunywa sisi watanzania halisi. Nyie mlizoea hela za ufisadi na kujipendekeza, kama yule mhaya mwenzenu jaji aliyelipwa na ccm kumvua Lema ubunge. Hata hapo kwa Kanumba mnajifanya mnamjua saiz kwa kuwa anazo angekuwa mchovu hata mchango msingetoa
 
Msiba una mwaliko???

Baba yake kaja???

Kama hajaja, changanya zako pia

nini kinamsuta kiasi hicho??
We mama mbona una frustrations sana leo? Mbona mama alipigiwa simu fasta? Kwa mtu mwenye akili baada ya msiba kutokea baba ndio anakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa kwa kuwa ndio Decision maker. Huenda amewaachia wahaya wajifagilie kwanza yeye atatinga siku ya kumpumzisha. Hata namna ya kifo inareflect kuwa jamaa hakupitia malezi mazuri.

RIP The Great Kanumba, the Shinyanga boy
 
Tatizo lenu nshomile mnafikiri bado tuko zama zile za Tanzania ya wanyonge. Tumeishawa neutralize saizi hata Heineken hamnywi tunakunywa sisi watanzania halisi. Nyie mlizoea hela za ufisadi na kujipendekeza, kama yule mhaya mwenzenu jaji aliyelipwa na ccm kumvua Lema ubunge. Hata hapo kwa Kanumba mnajifanya mnamjua saiz kwa kuwa anazo angekuwa mchovu hata mchango msingetoa

Hahaha Mungu wangu hata pasipo kuwa na uhusiano na siasa siasa itaingizwa hahahaha.
Kazi kwelikweli.
Hii ni issue ya kifamilia zaidi si ya Kikabila wala kimila.
 
kwa jinsi nilivyomsikia kanumba akihojiwa inaonyesha mpaka anakua mtu mzima baba yake alichangia matunzo kama 5% tu that y mama yake ndio atakua msimamizi wa mazishi yake na mali zake.
 
kuna ubinafsi mkubwa hapa kwani kanumba hakuwa hata na baba wadogo ambao wangetakiwa kupeleka habari kwa mzee kanumba taarifa ya msiba huko shy.
 
wewe unayesema wanawake wakihaya tatizo wengne hawana tatizo jaman sio wote,kama mimi mbona sina hayo matabia?wewe unaesema niwahovyo je wanawake wakabila lako wakoje?
 
If u are not a Muhaya don't go for a Haya wife or husband! it is a hell to live with these people. Nshomires are difficult to please.
 
wewe unayesema wanawake wakihaya tatizo wengne hawana tatizo jaman sio wote,kama mimi mbona sina hayo matabia?wewe unaesema niwahovyo je wanawake wakabila lako wakoje?

Mdada usikatae ndo ukweli wenyewe! hamtulii kwenye ndoa zenu! mm binafsi nimeamua kutooa uko! mifano mingi ninayo! na ukiwa umesoma ndo usiseme, ukikaa ndani ya ndoa kwa miaka 2 ni bahati! hasa wale wanaotoka mreba, kamachumu na kiziba!
 
Back
Top Bottom