Utakubali mkeo abebwe hivi?

Bora huyu kijana.Dakitari wa magonjwa ya akina mama jee? Anapokuwa akimwangalia Faragha kwa ajili ya kumtibu Mkeo.
Hapo hakuna feelings ni kama roboti tuu.Amembeba ni biashara tuuu ,tupunguze wivu.:hug:
 
kweli bongo sio mchezo, sasa huyo dada anaelekea wapi? labda nyumbani kwake, jinsi alivyo ukikutana nae pale mitaa ya posta ofisini kwake ghorofa ya tano PPF house na nyodo atakazo kupa unaweza ukadhani yupo jirani na Visenti, kumbe ni balaa kabisa hapo nadhani kulikuwa na kazi ya kutoa maji na kukausha kodoro ndani ya nyumba., KWELI BONGO SIO MCHEZO
 
msaada tutani ina shida gani? Vinginevyo nimnunulie mtumbwi ili akifika sehemu kama hizo awe anaingia kupiga kasia.
 
Mbona hakuna kitu cha ajabu? Labda huyo dogo abadili mawazo akiwa katikati ya hilo ziwa. Vinginevyo kila mtu anawaza kivyake vyake!
..Tena mi naona yuko salama sana hata huyo dogo sidhani kama akili yake ik kwa huyo dada nadhani yeye anawaza mvua iendelee ili awabebe zaidi jioni hesabu ndefu kabisa....angembeba kwa mbele je? si ingekuwa kesi kubwa kabisa??
 
Stahili hii nimeiona hapa pwani, binti anapoolewa, kuna jamaa ameandaliwa kumbeba mgongoni, hiyo ni mira.
 
Bora huyu kijana.Dakitari wa magonjwa ya akina mama jee? Anapokuwa akimwangalia Faragha kwa ajili ya kumtibu Mkeo.
Hapo hakuna feelings ni kama roboti tuu.Amembeba ni biashara tuuu ,tupunguze wivu.:hug:

Sio daktari wa magonjwa tu, je daktari anapoangalia njia ya uzazi ya mkeo wakati wa kujifungua? Cha msingi ni kuangalia mazingira ya jambo linalofanyika lakini ubebwaji ule unaweza ukalata hisia nyingine! Huyo dada akawii kumwambia huyo jamaa akamsaidie na kutoa magodoro kule nyumbani kwake!!!!
 
Duh - maisha bora kwa kila kiumbe
1. Dogo anapiga mzigo apate chochote anashukuru mvua kumbwa iliyonyesha na kujaza bonde (sisi tunaita njia)
2. Dada anaamua kukubali yote anakabidhi maisha yake kwa bwa mdogo - in case ajali ikitokea na kifo kumkumba - yote kwa mwenyezi na si kwa CCM aliyewaweka madarakani.
3. Kiogozi wa mtaa anaendelea na shughuli za kuandikisha wapiga kura wake na kampeni za chini chini hana haja na kuaddress tatizo hili ktk ngazi zinazohusika.
4. Sitanshangaa dada huyu huyu ndiyo ndiye mstari wa mbele kuipigia kura CCM katika uchaguzi mkuu bila kujali yote yaliyompata kwa muda wa miaka mitano

Yaani hapa ndipo nashindwa kuelewa watanzania tumelishwa nini!! Hainiingii akilini kabisaaaa jambo hili. Wapiga kura wengi wa vijijini wanaoichagua ccm wana matatizo haya haya. Shida moja ni kuwa upinzani wameshindwa ku-capitalize on these sensitive issues, and I really don't know when they will wake up. Lets see, maybe time will tell!
 
Hizi ndizo ajira kwakila Mtanzania JK alliwaahidi vijana wakati aliomba mumchague!
 
Duh - maisha bora kwa kila kiumbe
1. Dogo anapiga mzigo apate chochote anashukuru mvua kumbwa iliyonyesha na kujaza bonde (sisi tunaita njia)
2. Dada anaamua kukubali yote anakabidhi maisha yake kwa bwa mdogo - in case ajali ikitokea na kifo kumkumba - yote kwa mwenyezi na si kwa CCM aliyewaweka madarakani.
3. Kiogozi wa mtaa anaendelea na shughuli za kuandikisha wapiga kura wake na kampeni za chini chini hana haja na kuaddress tatizo hili ktk ngazi zinazohusika.
4. Sitanshangaa dada huyu huyu ndiyo ndiye mstari wa mbele kuipigia kura CCM katika uchaguzi mkuu bila kujali yote yaliyompata kwa muda wa miaka mitano
Duh Nimeipenda hiyo!!! Big up.
 
Umeoa?, nashauri wako mfungie ndani asiende kutafuta kibarua maana vurugu huanzia kwenye matatuu- wajamaa wanakamata kila pahala, akifika ofisini kwa mhindi utajaza mwenyewe.
Habebwi mtu namna hiyo...napigana...
<br />
<br />
 
inapobidi itabidi ukubali

Nakuaminia FL, utakuwa mzuri kwani unapenda avatar nzuri siyo jitu linaweka avatar ya Nyoka, mara avatar ya bibi mwenye ugonjwa gani sijui?. Ingawa off topic lakini nimeiona hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom