Utakubali mkeo abebwe hivi?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
18733_239309923302_573923302_3399362_4798245_n.jpg
 
Utafanyaje mzee, ndo kisha bebwa hapooo!!

Ni msaada tosha kubebwa mchana kweupe kama hivi kuliko achafuke na harufu ya manukato ya hayo maji machafu!!
 
Aghaaa kweli msafiri kafiri, hili ndo jiji kunuka bwana hakuna jinsi waume zao inabidi wawe wapole kwani baada ya hapa anabebwe mume la sivyo job hakuendeki na mbosi hakuelewi kwa nini hukuja job.
 
Duh - maisha bora kwa kila kiumbe
1. Dogo anapiga mzigo apate chochote anashukuru mvua kumbwa iliyonyesha na kujaza bonde (sisi tunaita njia)
2. Dada anaamua kukubali yote anakabidhi maisha yake kwa bwa mdogo - in case ajali ikitokea na kifo kumkumba - yote kwa mwenyezi na si kwa CCM aliyewaweka madarakani.
3. Kiogozi wa mtaa anaendelea na shughuli za kuandikisha wapiga kura wake na kampeni za chini chini hana haja na kuaddress tatizo hili ktk ngazi zinazohusika.
4. Sitanshangaa dada huyu huyu ndiyo ndiye mstari wa mbele kuipigia kura CCM katika uchaguzi mkuu bila kujali yote yaliyompata kwa muda wa miaka mitano
 
Duh - maisha bora kwa kila kiumbe
1. Dogo anapiga mzigo apate chochote anashukuru mvua kumbwa iliyonyesha na kujaza bonde (sisi tunaita njia)
2. Dada anaamua kukubali yote anakabidhi maisha yake kwa bwa mdogo - in case ajali ikitokea na kifo kumkumba - yote kwa mwenyezi
3. Kiogozi wa mtaa anaendelea na shughuli za kuandikisha wapiga kura wake na kampeni za chini chini hana haja na kuaddress tatizo hili ktk ngazi zinazohusika.
4. Sitanshangaa dada huyu huyu ndiyo ndiye mstari wa mbele kuipigia kura CCM katika uchaguzi mkuu bila kujali yote yaliyompata kwa muda wa miaka mitano

We go back to the same old story from fisadi mdosi... Swahili iko jinga sana napigia kula hata mie hapana leta maendeleo yoyote... nampatia ongozi yao 200m naachie kodi 2bn... iko patia askari elfu 50 achia wewe hata kama na kesi ya unga, SWAHILI JINGA SANA JINGA KABISA
 
Dah poa sasa utafanyeje bora ukubali yaisha avushwe aende ofisini.Ila watu tuwe makini haiwezekani eti jj kama dar liko kwenye hali kama hii.Hapa ndo Prezidaa anakaa je huko Ndago au kiteto si ndo kifo kabisa.Tunahitaji mabadiliko watu tuache kuchagua chama tuchague viongozi.
 
Mh.Mfunyukuzi hapo ni wapi????
Huyu dada huko anakokaa ndie miss wao,maana ni yeye tu kavaa kiatu!angejua angekuwa na ile mi bag ya dada zetu ndani akaweka kandambili.
 
Mh.Mfunyukuzi hapo ni wapi????
Huyu dada huko anakokaa ndie miss wao,maana ni yeye tu kavaa kiatu!angejua angekuwa na ile mi bag ya dada zetu ndani akaweka kandambili.

hiyo ni njiapanda ya kwenda mikocheni ya Uswazi kwenye kona kabla hujafika TMJ hospital
 
Huyo kijana yuko kazini na aliyebebwa ni muhitaji wa huduma...iliyozaliwa kutokna na mvua kubwa! Mbona hatuangalii daktari anapomwomba mamaa avue nguo zote ili amfanyie uchunguzi hata wa maeneo ambayo hayakuripotiwa na tatizo???... Nakumbuka majibu wa mtoto aliyeulizwa akikua atapendelea kufana kazi gani- Alijibu atapenda kuwa daktarii ..alipolizwa kwa nini alijibu: Unamwambia mke wa mtu avue nguo na mumewe analipa bili ya huduma!!!! Hakuhojiwa zaidi!!!! Uwe na siku njema Mfukunyuzi
 
je huko Ndago au kiteto si ndo kifo kabisa.

Kwa taarifa yako mlatie huku Kiteto sie tushasahau kabisa hata kama kuna serikali; hivyo barabara tunazilima wenyewe tunavyoweza wajawazito wakizidiwa tunajitwisha ama kuwakodia magari inapobidi! Kwa ufupi tunatekeleza itikadi ya Mwalimu; TUNAJITEGEMEA kwa uwezo wetu.
 
hutojua kama alibebwa hivyo kwani kama ungekuepo ungembeba mwenyewe. kwahio sio issue kubwa kwa vile haitowahi kutokea mbele ya macho yako labda kama hutokuwa na nguvu ya kumbeba mkeo lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom