utajuaje.....

ukiwa naye karibu unapata faraja fulani moyoni mwako na akiwa naye mbali unaona unamiss kitu moyoni mwako. Kwani we hujawahi kupenda?
 
mie sijawahi...ila kuna demu i just can't forget about sasa sijui ndio kumlike au ndio namlove
 
Unapo mlike,ndo hapo hapo unapoanza kum love huyo someone wako,kwa sababu love start from down,from like,automatical unajikuta usha love,una miss,unatamani awe karibu yako,na mengine mengi tu.
 
OMG!! Mzabzab you are in love... Moja ya dalili ni kuuliza swali kama lako....
 
jamani utajuaje kuwa u love someone au u just like someone

Kama hivyo unamuwaza mara nyingi...asipokutext unajistress kwanini hajakutext..ukimuona moyo unashtuka na kuenda mbio zaidi ya Tevez...ukimkumbuka unatabasam tuuuu...unakuwa concerned sana na ishu zake...vitu kama hivyo!
 
Back
Top Bottom