utajisikiaje utakapopata sms kama hii asubuhi na mapema kutoka kwa mpenzi wako wa kike

Mkuu hebu rekebisha kauli yako, hivi unaweza kumpa binti kitu ambacho Baba yake hawezi kumtimizia? mpaka wewe unamuona na ukampenda unajuwa Baba yake ame sacrifice vingapi mpaka wewe umemtamani bintiye?

Mimi nikipata msg kama hiyo fasta natuma M-Pesa laki mbili na Air time ya shilling elfu kumi ili awe na access ya kupiga simu na siyo kutuma msg, na kama ni msg basi ziwe ni Romantic msg tu.

Kumbe humu kuna mijitu mibahili kwelikweli!!.....kama mnaona kumgharamia mchuchu wako ni ghali nenda kanunuwe mademu wa viwanja. Ni nani aliyewaambia kuna mbunye za mazoezi?
Haaahaaaa, mkuu Matola, kama issue ni babaake ku sacrifice hatawashinda wazazi wangu ambao wali-sacrifice hadi nikawa na maujanja ya kuwa na hivyo vilaki na kumuingiza huyo binti kingi! Suala la yale mambo yetu wote tunaenjoy banaa, why mimi nigharimike zaidi??? Haaahaaaa laki awaombe wazazi wake, kwa nini inakuwa ngumu hivyo kuwaomba wao???
 
si unampa?
mimi kweli kama mwanaume hawezikunisaidia wakati nina shida...siwezi kukaa nae..
mwanaume wa kitandani tu wa nini?
maisha ni mambo mengi .hapo kitandani ni bonus tu..
laki kitu gani laki si pesa...
What do u mean"bonus"?
 
unapata sms inayokuamsha asubuhi kutoka kwenye ndoto nzuri " honey mi nadaiwa naomba uniazime sh laki moja tuu....luv u so much mwaaah" utachukua uamuzi gani wa busara , ,
Mie ntamwambia njoo uchukue "ATM CARD"yangu ukajichotee kiasi ukitakacho mamaa!!maana wewe ndio unayenitoaga machozi ya utamu ulioko chini ya jua(Duniani)ingawa sir good anatungoja kwa rungu na mapanga.
 
si unampa?
mimi kweli kama mwanaume hawezikunisaidia wakati nina shida...siwezi kukaa nae..
mwanaume wa kitandani tu wa nini?
maisha ni mambo mengi .hapo kitandani ni bonus tu..
laki kitu gani laki si pesa...

We unaweza kutoa hiyo pesa kwa bf wako asubuhi bila maelezo au unajua kupokea tu? sorry kama nimekukwaza.
 
si unampa?
mimi kweli kama mwanaume hawezikunisaidia wakati nina shida...siwezi kukaa nae..
mwanaume wa kitandani tu wa nini?
maisha ni mambo mengi .hapo kitandani ni bonus tu..
laki kitu gani laki si pesa...

kweli laki si pesa, ebu toa wewe kwanza hiyo laki.
 
Ningekuwa mimi ningekasirika kwa nini atumie neno 'niazime'. Shida ya mpenzi wako ni ya kwako!
 
Unabofya *150# kisha unamvulumishia laki tatu mchezo kwisha!msiwe wagumu bana!
 
ka ni mpenzi wako wa kweli na unampenda asubuhi hiyo hiyo unavaa chap chap unakimbilia kwenye ATM...
 
Unabofya *150# kisha unamvulumishia laki tatu mchezo kwisha!msiwe wagumu bana!

kweli watu ni wangumu sana, laki moja kitu gani? na hii inapelelekea kama upo mbahili sana kwa demu wako, inabidi demu anatafuta hata uwongo wa kukuombea pesa!
 
Wa2 wengne walivyo wabahil had kero! Kwan ukimsaidia mpenz wako kuna nin ? Unataka nan amsaidie? Bora hata huyo kakuomba mwingne anakutafutia msaidiz.
 
Material wife lazima nimsaidie maana tunajuana kiundani zaidi. Lakini si yule tumekutana Jana Leo asubuhi una2ma SMS ya pesa
 
Mkuu laki sio mkwanja wa kusema kuwa ukitoa kwa mwanamke ambaye kweli una malengo nae itakufanya uwe maskini. Kama shida ya maana, mpo serious na mwenza wako na uwezo unaruhusu unachana pochi tu fasta ila kama gashi mwenyewe ni cheche mmeokotana kilabuni jana usiku wakati mko chicha, unaisoma msg na kuipotezea.

Mbona hata hao wadada sometimes wanatusaidia kifedha na mambo mengine?. Mfano shem wako ambaye nipo nae hata akitaka laki tano namtumia na nikiwa sina hapa home nitatembea kwa mguu hata usiku wa manane kwenda ktk ATM machine. chezea kupenda nini wewe!!!!
 
Na hata mimi mwanamke wa kitandani tu simtaki, mahusiano ni zaidi ya kulala pamoja, kama najua kabisa huu mzigo ni wife material na unanipenda kweli hata milion omba nitakutumia hata kama sina nitakopa, but mwanamke wa bata tu tuliokutana kimjini mjini umezimikia mkoko... He he he utaisoma namba hata 10 sikupi kizembe zembe nikupe nafasi ujikajitambe umenichuna,,, kavu kavu nakujibu sina, as juzi kati tu kuna kicheche cha chuo kilinipiga mzinga nikakijibu sina kikajifanya kuuchuna na mimi nikauchuna, jana kimenipigia eti leo kinakuja geto tuongee maana anajua simpendi, sasa sijui anafata nini kama hapendwi


Unapima kwa kutumia nini mkuu........wife material kama ana shida atakupa taarifa na kukutaka mawazo then wewe ndo utaona nini cha kufanya....when....how.....na maswali kama hayo siyo mambo ya mwaaaaa........kwenye text

BE WARE OF .....WIFE MATERIAL BY A LOOK

 
Asubuhi yt hata salamu hajanipa, napotezea, sana sana ntamwambia akope sehem mi ntarudisha huko alikokopa
 
Mie kuna mmoja tumekutana tu kiaina,zaidi ya kuwa na kiungo cha uzazi hana lolote jingine la kumkwalifai kuwa wife,siku ya kwanza tu akaanza na mzinga wa elfu 50 nikajifanya mjinga nikampa,heee!,si amenigeuza baba yake sasa,leo hii keshanitumia msg hii "baby leo nina kiu kweli nifanyie basi mpango wa Grants na Amarula"
 
Mie ntamwambia njoo uchukue "ATM CARD"yangu ukajichotee kiasi ukitakacho mamaa!!maana wewe ndio unayenitoaga machozi ya utamu ulioko chini ya jua(Duniani)ingawa sir good anatungoja kwa rungu na mapanga.

Asee!! JF raha sana.
 
Ntamjibu..."kwa bahati mbaya mie sina kitu mwezi huu na ninadaiwa kodi ya nyumba honey,luv u so much....mwaaa mwaaaaaaaaaanza"
 
Back
Top Bottom