PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,731
dU...Kumbe hadi kwenye ginneries ameshajimegea utajiri!!Anapaswa kujua kuwa juhudi alizokuwa anafanya za kubadilisha baadhi ya majina yake kwenye kumjiliki Ginneries mbalimbali sio siri , zitawasilishwa nyaraka atapata aibu sana huyu kijana mwenzangu.
Ndio maana alikuwa anaongea huku ana wasiwasi!...aibu itampata very soon huyu mtoto!