Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 10,318
- 16,651
Kuna jamaa hapa anaziba pancha Tu lkn life lake hatar Sana nyumba kali gari Kali mpaka police wanamuuliza umepataje nyumba hii
Hao wapo wengi sana lakini wanaishi maisha ya mateso sana, kuna Ngosha mmoja maeneo ya Makumbusho ana mzigo wa maana lakini anavaa viatu hizi plastick za sh 5000, shati limechanika na kushona shona halafu akiingia kubet anaweka mpaka laki 6 ile virtual