Mtanzania Mnyonge22
Senior Member
- Sep 2, 2022
- 125
- 455
Na mishkaki yao inavutia balaa… ila sijui Mmiliki wa Mgahawa ni kabila gnpale wanauza mipande ya kuku imenona balaaa.......
aisee hua nikipita natamani niingie nipate mipaja ile ila rohp ilikua inasita