Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Nimepita tena hapa kwenye huu Mgahawa wa Ally Mpemba nimejiuliza maswali mengi sana bila majibu hivi kwa Mgahawa ule tu kila baada ya miezi sita anakufa Mfanyakazi. je huyu Ally Mpemba angekuwa anamiliki Hotel kama Kilimanjaro Hotel, Serena, Sea Cliff au Golden Tulip angekuwa anauwa Wafanyakazi wangapi kwa mwaka? Vijana wenzangu kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu hii pesa, sometimes turidhike na kile tulichojaaliwa na wala tusiishi maisha ya kumuiga mtu fulani kuna watu wanafanya madhambi makubwa sana nyuma ya pazia kwa sababu ya pesa.
 
Kuna jamaa hapa anaziba pancha Tu lkn life lake hatar Sana nyumba kali gari Kali mpaka police wanamuuliza umepataje nyumba hii
 
Hao wazee wa Gamboshi hawawezi kukubali.

Kwamba ukiwauliza waseme ndio mjukuu wangu, hapa kuna wachawi balaa ni lango la kuzimu na ukitaka kwenda kuzimu unapitia mtoni pale ukiwa hujavaa nguo ila unaenda kinyume nyume.

Ila ukienda kikazi zaidi utajua ukweli.
Hapo nakupinga, hiyo kitu haipo ni inasemekana tu. Uchawi upo kama ilivyo sehemu nyingine tu lakini siyo ule tunaodanganyana. Ni kama story za ukerewe tu. Wanasema zmani ilikuwa hivi mra vile lakini ukiuliza wazee wa huko watakwambia hata wao wanasikia zamani ilikuwa vile.
 
Maana yake ninini Wige??
Ni sherehe kuashiria

Msimu wa mavuno

Hivyo kunakuwa na ngoma shindanishi

Kati ya Baghika na Baghalho

Lakini pia kuanza kwa mavuno

Yaliyopo shambani juni mosi

Huku ikisubiriwa bei ya pamba julai mosi

Itangazwe

Ni kipindi cha shangwe na furaha kiasi kwamba

Minada ndio inaanza kuchanganya

Pesa kama zote ukanda huo
 
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Ahaaa! Asante sana kwa maelezo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom