Utajiri , umasikini unapatikana katika Akili ya Mtu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,119
45,894
Wakuu habari ya uzima

Kiukweli Younger Generation waambie tu ukweli ili wasiendelee kupotea ili kuwa Tajiri au kuwa masikini na kuishi Maisha ya wastani ni namna unapoamua kuiweka Akili yako katika mitazamo chanya.

That's way Kuna watu hawana MIKONO Wala Miguu ila wanamiliki ukwasi Mkubwa Sana.

Na Kuna watu wana mili mikubwa na viungo vyote ila ni masikini wa kutupwa.

So vijana ili tufanikiwe ni kuziaminisha Akili ZETU kuwa sisi tunaweza na kujitenga na Anasa ,Kama kuhonga PESA . Then na kuwa imara kiroho.

Yaani ukisema Mimi ni masikini Basi lazima uwe masikini kweli kweli maana utakuwa unapewa kile unachojitamkia .

Honestly Tuendelee kujifunza , utajiri is not about materials things
 
Sawa
 
Ni kweli kabisa mkuu, umenena vyema. Ili ufikie mafanikio makubwa lazima bidii ya utafutaji iwe kubwa, usipuuze pesa ndogo unayoipata.
 
Wakuu habari ya uzima

Kiukweli Younger Generation waambie tu ukweli ili wasiendelee kupotea ili kuwa Tajiri au kuwa masikini na kuishi Maisha ya wastani ni namna unapoamua kuiweka Akili yako katika mitazamo chanya.

That's way Kuna watu hawana MIKONO Wala Miguu ila wanamiliki ukwasi Mkubwa Sana.

Na Kuna watu wana mili mikubwa na viungo vyote ila ni masikini wa kutupwa.

So vijana ili tufanikiwe ni kuziaminisha Akili ZETU kuwa sisi tunaweza na kujitenga na Anasa ,Kama kuhonga PESA . Then na kuwa imara kiroho.

Yaani ukisema Mimi ni masikini Basi lazima uwe masikini kweli kweli maana utakuwa unapewa kile unachojitamkia .

Honestly Tuendelee kujifunza , utajiri is not about materials things
Ni kupambana bila kukatwa tamaa,huku Mungu tukimtanguliza.
 
Back
Top Bottom