Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,709
- 36,166
Hello!
Hili kila mtu anaweza kulithibitisha kwa kuback up miaka michache nyuma.
Furaha niliyokuwa nayo mwaka 1999 ni kubwa kuliko ya miaka ya 2009, furaha niliyokuwa nayo 2019 si kubwa kama ile niliyokuwa nayo 2009.
Licha ya maisha yangu kuboreka kila mwaka.
Nakiri kuwa maisha ya kulala kwenye mikeka na vitanda vya kamba miaka 20 nyuma yalijaa furaha kuliko sasa ambapo nawaza kupata chochote ninachokihitaji.
Ni mfumo wa uchumi ndio huleta kadhia kwa wanadamu.
Tajiri anahangahika, maskini anahangahika, fukara anahangahika pia.
No rest.