love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
Huko kwenye ndoa,hakuna wanawake wazuri jamani? aah mtuache!
Wazuri huwa wasindikizaji tu....
Itabidi tujipake mashizi.Mara ukiwa smart wanaume wanakuogopa usmart wamponza.
Ukiwa na mvuto wewe pasua kichwa,ngumu kuolewa.
Sa sijui tufanyaje kwa hawa viumbe wa kiume
Najitambua, Najipenda, Najithamini, najiamini, na ninachagua sana, lakini nashangaa kila siku wanaume wanapanga foleni kila mmoja anataka aitwe mme wangu na mimi niitwe mke wake.
Tena nimegungundua wanawake smart kama sisi ndo tunapendwa zaidi na wanaume wenye malengi chanya. ila tu huwa nawaambia bado nipo nipo sana,maana sijapata mwanaume ninaemtaka
Mara ukiwa smart wanaume wanakuogopa,usmart wamponza.
Ukiwa na mvuto wewe Pasua Kichwa,ngumu kuolewa.Sa sijui tufanyaje kwa hawa viumbe wa Kiume
Itabidi tujipake mashizi...
Najitambua, Najipenda, Najithamini, najiamini na ninachagua sana, lakini nashangaa kila siku wanaume wanapanga foleni kila mmoja anataka aitwe mme wangu na mimi niitwe mke wake.
Tena nimegungundua wanawake smart kama sisi ndo tunapendwa zaidi na wanaume wenye malengi chanya,ila tu huwa nawaambia bado nipo nipo sana,maana sijapata mwanaume ninaemtaka
Humu ndani tafit zimezidi ukifuatilia sana unaweza kuhisi kuwa either wanawake ni copmlicated sana au wanaume ni complicated na hii ni mbaya hata kama mtu alikuwa na mpenzi wa aina hiyo anaweza kukata tamaa hata kama wanapendana kutoka na tafiti zisizokuwa na kichwa wala mkia,Swali kwa mfanya tafiti hypothesis yake ilikuwa ni nin mpaka akaamua kufanya huo utafiti au ni mawazo yake?
Ukisema wanawake wenye mvuto ni pasua kichwa unaamaanisha nini wakat kila binadamu anacriteria zinazo mfanya avutiwe na mwanaume au mwanamke kama wewe unavutiwa na kila mwanaume au mwanamke wewe lazima uwe mgonjwa hii ni sawa na wanao lalamika kuwa hesabu ni ngumu wakat huo huo wapo wanaopata "A" unakuta hiyo inabaki kuwa personal na ili mapenzi yawepo lazima mvuto uwepo pia kwanini watu wanasahau hili huwezi kumpenda mtu wakati hujavutiwa naye.
Sasa kama utafit wake unaonyesha hivyo muache aendelee kuwa na ambao hawana mvuto matokeo yake unaalikwa kwenye kikao uende na mkeo unaenda na kimada eti wife siyo presantable ulimoa wa nini kama siyo presentable? mnaboa sana na vitafit vyenu hivi mimi apasue kichwa asipasue kazi kwake ili mradi anajua umuhimu wangu akipasua kichwa atafanya mpango wa kukiunganisha ili apate raha!
Bora useme wewe kiazi nikisema mie muhogo watasema nna mzizi!
Kila mtu ni mtafiti unachukua sample mbili katika watu 120 then you come to the conclusion.
Research imepoteza maana yake kabisaaaa.
Kuolewa ni bahati tu toka kwa Mungu jamani si uzuri wala nini.
wakati we unasema siyo tatizo wengine nao wanasema ni tatizo mi sielewagi kabisa!!!!!!