Utafiti: Wanawake wenye mvuto wa kimapenzi huwa vigumu kwao kuolewa

Uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu, kuolewa ni bahati ya mtu, awe mmbaya au mzuri. Hata wanaume pia wapo wanaokosa wake wa kuoa kwa mapungufu yao.
 
Wazuri huwa wasindikizaji tu....

Wazuri ni kina nani?
Nani anawafanyia assessment?
Mimi nadhani swala la uzuri liko kwa macho ya mtu binafsi, naweza nikamuona m/ke ni mzuri na mrembo ila kwa mwingine ni tofauti.

Kutongoza nakwo ni kipaji, kuna vijana wamenyimwa kipaji hicho, ila Mungu nae si Athumani, amewapa kipaji cha utoaji.. wanahongaaa!
 
Najitambua, Najipenda, Najithamini, najiamini, na ninachagua sana, lakini nashangaa kila siku wanaume wanapanga foleni kila mmoja anataka aitwe mme wangu na mimi niitwe mke wake.

Tena nimegungundua wanawake smart kama sisi ndo tunapendwa zaidi na wanaume wenye malengi chanya. ila tu huwa nawaambia bado nipo nipo sana. maana sijapata mwanaume ninaemtaka.
 
Wazuri wanasaidia kupamba na kusherehesha harusi za wenzao.....lakini ukiona anaolewa ujue mwanamme kajikaza kweli
 
Najitambua, Najipenda, Najithamini, najiamini, na ninachagua sana, lakini nashangaa kila siku wanaume wanapanga foleni kila mmoja anataka aitwe mme wangu na mimi niitwe mke wake.

Tena nimegungundua wanawake smart kama sisi ndo tunapendwa zaidi na wanaume wenye malengi chanya. ila tu huwa nawaambia bado nipo nipo sana,maana sijapata mwanaume ninaemtaka

Kujiamini ni sifa ya mwanamke, na kupanga foleni si tija Kwan wengne wanapanga folen ya ngono na ku pretend anakupenda kindoa, mapenzi hayana jemedar elewa Hilo, nawanawake wengi wananza zero % kupenda ila ukimpata mjanja anavunja na anakupeleka from 0,1,3-------80 mpka 100

Tena haya ni kwa jinsi atavokutreat atakuonesha upendo mpaka una fika 100% na ukiifika hapo bas unakua tayar kufanya chochote hata kumpa penz, na akipata tu bas jua yeye Alainza 100% na atashuka mpka 0 Kwan kashapata anachotaka unabak kujuta na kuwaona wanaume wote sawa.Kua makini usijiamini sana maana sie wanaume wenye mvuto pasua kichwaaa
 
Urembo huwatia kiburi wakiamini kuwa kila mwanaume anawataka hapo ndio unashangaa kuona binti mrembo kazaa zaa ovyo na wanaume tofauti. Hana ndoa wala nini anaruka na kila mwanaume huku akijisikia kwa uzuri wake.
 
Mara ukiwa smart wanaume wanakuogopa,usmart wamponza.

Ukiwa na mvuto wewe Pasua Kichwa,ngumu kuolewa.Sa sijui tufanyaje kwa hawa viumbe wa Kiume

Humu ndani tafit zimezidi ukifuatilia sana unaweza kuhisi kuwa either wanawake ni copmlicated sana au wanaume ni complicated na hii ni mbaya hata kama mtu alikuwa na mpenzi wa aina hiyo anaweza kukata tamaa hata kama wanapendana kutoka na tafiti zisizokuwa na kichwa wala mkia,Swali kwa mfanya tafiti hypothesis yake ilikuwa ni nin mpaka akaamua kufanya huo utafiti au ni mawazo yake?

Ukisema wanawake wenye mvuto ni pasua kichwa unaamaanisha nini wakat kila binadamu anacriteria zinazo mfanya avutiwe na mwanaume au mwanamke kama wewe unavutiwa na kila mwanaume au mwanamke wewe lazima uwe mgonjwa hii ni sawa na wanao lalamika kuwa hesabu ni ngumu wakati huo huo wapo wanaopata "A" unakuta hiyo inabaki kuwa personal na ili mapenzi yawepo lazima mvuto uwepo .

Pia kwanini watu wanasahau hili huwezi kumpenda mtu wakati hujavutiwa naye,sasa kama utafit wake unaonyesha hivyo muache aendelee kuwa na ambao hawana mvuto matokeo yake unaalikwa kwenye kikao uende na mkeo unaenda na kimada eti wife siyo presantable ulimoa wa nini kama siyo presentable? mnaboa sana na vitafit vyenu hivi mimi apasue kichwa asipasue kazi kwake ili mradi anajua umuhimu wangu akipasua kichwa atafanya mpango wa kukiunganisha ili apate raha!
 
Najitambua, Najipenda, Najithamini, najiamini na ninachagua sana, lakini nashangaa kila siku wanaume wanapanga foleni kila mmoja anataka aitwe mme wangu na mimi niitwe mke wake.

Tena nimegungundua wanawake smart kama sisi ndo tunapendwa zaidi na wanaume wenye malengi chanya,ila tu huwa nawaambia bado nipo nipo sana,maana sijapata mwanaume ninaemtaka

Wewe endelea kujiamni tu sisi wanaume tuna zijua tabia zetu tena wengi wetu hata kama alikuwa anakupenda kwa dhati akijua kuwa unamsilkilizia Imean kuanza kumchora kama anafaa au siyo ujue kabsa siku akijua atasubiria achape na asepe wewe ukitaka uhusiano kweli jaa mzima mzima na utaenjoy bila shida:wave:
 
Humu ndani tafit zimezidi ukifuatilia sana unaweza kuhisi kuwa either wanawake ni copmlicated sana au wanaume ni complicated na hii ni mbaya hata kama mtu alikuwa na mpenzi wa aina hiyo anaweza kukata tamaa hata kama wanapendana kutoka na tafiti zisizokuwa na kichwa wala mkia,Swali kwa mfanya tafiti hypothesis yake ilikuwa ni nin mpaka akaamua kufanya huo utafiti au ni mawazo yake?

Ukisema wanawake wenye mvuto ni pasua kichwa unaamaanisha nini wakat kila binadamu anacriteria zinazo mfanya avutiwe na mwanaume au mwanamke kama wewe unavutiwa na kila mwanaume au mwanamke wewe lazima uwe mgonjwa hii ni sawa na wanao lalamika kuwa hesabu ni ngumu wakat huo huo wapo wanaopata "A" unakuta hiyo inabaki kuwa personal na ili mapenzi yawepo lazima mvuto uwepo pia kwanini watu wanasahau hili huwezi kumpenda mtu wakati hujavutiwa naye.

Sasa kama utafit wake unaonyesha hivyo muache aendelee kuwa na ambao hawana mvuto matokeo yake unaalikwa kwenye kikao uende na mkeo unaenda na kimada eti wife siyo presantable ulimoa wa nini kama siyo presentable? mnaboa sana na vitafit vyenu hivi mimi apasue kichwa asipasue kazi kwake ili mradi anajua umuhimu wangu akipasua kichwa atafanya mpango wa kukiunganisha ili apate raha!

Bora useme wewe kiazi nikisema mie muhogo watasema nina mzizi!

Kila mtu ni mtafiti unachukua sample mbili katika watu 120 then you come to the conclusion.

Research imepoteza maana yake kabisaaaa.
 
wakati we unasema siyo tatizo wengine nao wanasema ni tatizo mi sielewagi kabisa!!!!!!

Heaven on earth, wanaume wote wanapenda kuoa mwanamke atakayemrespect kama mume, wala si wagumu sana kuwaelewa ukiwa kwenye dating ukawa unajifanya mjuaji, unambishiabishia HOVYO, utadai ete wewe, utashangaa wenzio Wanaenda kuoa wanamke unaowaona hawana viwango!
 
Back
Top Bottom