Utafiti unaonyesha katiba bora inaweza kuondoa umasikini kwenye jamii na inaweza kuondoa chuki kweny

djcastlelite

Senior Member
Mar 8, 2014
159
21
Watafiti kutoka nchini kenye wametafiti na kubaini kuwa katiba ni chombo kinachoweza kuondoa umasikini kwenye jamii, watafiti hao wamesema kabla ya katiba mpya nchini kwenye jamii ilikua imejenga chuki kubwa sana baina yao wanasema baada ya katiba mpya chuki miongoni mwa jamii imepungua sana na wananchi wameanza kuaminiana na kuamini tasisi za serekali kutona na mfumo wa kuwapata wafanyakazi wa tasisi za serekali kama vile majaj, kuwepo mahakama ya juu kabisa nchini kwenya, wameenda mbali zaidi na kusema uchagu uliyofanyi hivi karibuni ni kielelezo tosha cha mafanikio ya katiba mpya kwa kuwa ilitoa furusa kwa wale waliyodhani haki haikutendeka waliweza kwenda kushitaki matokeo ya urais kwenye mahakama ya juu kabisi
 
Back
Top Bottom