Utafiti toka chuo cha Oxford, mwanamke anazungumza zaidi ya mwanamme kwa siku

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
MWANAMKE ANAZUNGUMZA MANENO 7000 KWA SIKU.jpg

UTAFITI TOKA CHUO CHA OXFORD*
Utafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford umebaini kuwa kwa siku Mwanamke anazungumza Maneno 7000. Na kwa siku Mwanaume anazungumza maneno 2000. kwa siku.Kwa mantiki hiyo wewe baba ukichelewa kurudi nyumbani ukamkuta Mwanamke anafoka kuhusu kuchelewa kwako wala usimjibu,Ingia ndani ulale,Tambua yupo kwenye lengo la kufikisha kiwango chake cha kuongea kwa siku.
 
View attachment 428404

Hao watakuwa Wanaume wa Kizungu lkn siyo hawa wa hapa Bongo hasa wa chadema, hakuna Wanaume wambea na wenye maneno na majungu mengi kuliko chadema, chadema haujui tofauti kati ya Mwanamke na Mwanaume wote Majungu tu na Mipasho, hivyo huo ni utafiti wa Kizungu siyo hapa Bongo!
 
Sidhani kama wale wanaume wanaoshindia chipsi na kukesha insta wanaongea maneno 2000.
 
Hao watakuwa Wanaume wa Kizungu lkn siyo hawa wa hapa Bongo hasa wa chadema, hakuna Wanaume wambea na wenye maneno na majungu mengi kuliko chadema, chadema haujui tofauti kati ya Mwanamke na Mwanaume wote Majungu tu na Mipasho, hivyo huo ni utafiti wa Kizungu siyo hapa Bongo!
Unawashwa na wanaume wa cdm si bure wewe!
 
Hao watakuwa Wanaume wa Kizungu lkn siyo hawa wa hapa Bongo hasa wa chadema, hakuna Wanaume wambea na wenye maneno na majungu mengi kuliko chadema, chadema haujui tofauti kati ya Mwanamke na Mwanaume wote Majungu tu na Mipasho, hivyo huo ni utafiti wa Kizungu siyo hapa Bongo!
Je na wewe ni mmoja kati ya hao wa chadema maan ulivyo ongea ni wazi na wewe unafanya mipasho
 
Hao watakuwa Wanaume wa Kizungu lkn siyo hawa wa hapa Bongo hasa wa chadema, hakuna Wanaume wambea na wenye maneno na majungu mengi kuliko chadema, chadema haujui tofauti kati ya Mwanamke na Mwanaume wote Majungu tu na Mipasho, hivyo huo ni utafiti wa Kizungu siyo hapa Bongo!
Mambo ya Chadema na utafiti wangu yamehusiana na nini mbona huna maneno mazuri wewe ? Wewe umekuja kuichafuwa Post yangu? Wewe ukiwa ni CCM au chama kingine mimi ina nihusu nini ? Kwani hapa tunazungumza mambo ya siasa? Mkuu mbona unazungumza maneno ya Pumba wewe ?
 
Back
Top Bottom