Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

Kama Lowassa aliweza kupika habari na kumlisha maneno Mkapa kuwa ameongea na CITIZEN TV ya Kenya kuhusu nani anayeona anafaa kugombea Urais mwakani atashindwa nini kwa sasa? akamlisha maneno mkapa kuwa "....Maana tuhuma zingine upuuzi kweli kweli"...
Lowasa ni mpuuzi sana. Anadhani kila mtu ni mwanasesere. Soon ataaibika
 
Mmeanza kelele zenu tena,mtachonga sana lakini ukweli ni kwamba jamaa hana MPINZANI hao wote ni WASINDIKIZAJI lowasaa yuko juu bwana,
go baba go baba go baba,usisikilize kelele za vyura
 
Siasa katka nchi yetu ni kizungumkuti tusipokaa sawa hakika nchi tunaiacha rehani
 
Kama Lowassa aliweza kupika habari na kumlisha maneno Mkapa kuwa ameongea na CITIZEN TV ya Kenya kuhusu nani anayeona anafaa kugombea Urais mwakani atashindwa nini kwa sasa? akamlisha maneno mkapa kuwa "....Maana tuhuma zingine upuuzi kweli kweli"...

Watu kama hamna cha kupost sio lazima kuchangia kila threat,sasa hapa ulichoandika unauhakika nacho
 
Siasa katka nchi yetu ni kizungumkuti tusipokaa sawa hakika nchi tunaiacha rehani

Tayari ipo rehani, karibu 90% wa uchumi wetu unamilikiwa na wageni, 10% ndio wazawa wanaolazimishwa kulipa kodi. nchi inaendehswa na kodi ya 10%. 90% wamepewa misamahaa ya kodi kwa kuwa ni wawekezaji wageni.

Nchi inaongozwa na vichaa na wanawafuasi wengi walio na njaa
 
Vijana wapo mnadani wamemfanya lowwasa mnada wanamnadi mtu mwizi wanalazimisha kila kitu mpaka utafiti wanafoji kweli hawa jamaa kiboko kisa ikulu mpelekeni mzee wenu mwaisela akatibiwe na si magogoni pahala patakatifu.
 
Kumnadi Lowassa ni sawa na kumnenepesha ng'ombe siku ya mnada
 
Utafiti wa Urais uliochapishwa na gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Azizi unaoonesha Lowassa anaongoza kwa 52% akifuatiwa na Dr Slaa na January Makamba umetajwa kuwa ni kiinimacho na hadaa kwa watanzania, imebainika.

Utafiti huu uliokataliwa na wahariri wa magazeti karibu yote kuandikwa inasemekana inayokana mapungufu yafuatayo ambayo hayakupata majibu kutoka kwa waandaaji :-

1.Umeandaliwa na vijana was Lowassa wanaofanya kazi mtandaoni.

2.Kura ilikua haina ukomo, unaweza kupiga mara nyingi uwezavyo

3.Vijana wa Lowassa waliandaliwa utaratibu wa kupiga kura usiku na mchana ili tu mgombea wao aongoze kwa mbali sana.

4.Admin au muendeshaji wa kura hiyo alikua na mamlaka ya kuingia na kutazama na hata kudhibiti nani aendelee kuongoza na nani afuatie.

5.Dr Slaa ametengenezwa aonekane anafuatia nyuma ya Lowassa ili ionekane kuwa CCM isipomsimamisha Lowassa basi wapinzani watachukua nchi.

Baada ya waandishi na wahariri wote kukataa kuchapisha Utafiti huo wa hovyo wakihoji nani kauandaa na ulipimwa kwa vigezo gani vya kisayansi, ni gazeti la Rai pekee linalomilikiwa na Rostam Azizi, rafiki mkubwa wa Lowassa ndilo pekee limechapisha habari hiyo.
Lowassa ajajitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Ifikie wakati sasa wahariri watueleze ukweli. Lowasa ni fisadi ambaye fedha zake zinamuwasha mwili mzima

kwa CCM huyo EDO ndio wa kuwaokoa nyie watumwa wadogo. tatizo ni HAMUMKUBALI. sasa mtatokea wapiiii?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom