Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,372
Lowasa ni mpuuzi sana. Anadhani kila mtu ni mwanasesere. Soon ataaibikaKama Lowassa aliweza kupika habari na kumlisha maneno Mkapa kuwa ameongea na CITIZEN TV ya Kenya kuhusu nani anayeona anafaa kugombea Urais mwakani atashindwa nini kwa sasa? akamlisha maneno mkapa kuwa "....Maana tuhuma zingine upuuzi kweli kweli"...