Utafiti binafsi: Wanyama na mimea vinavyotoweka kwa kasi hapa Tanzania

ha we! unaishi wapi. Upupu,njiwa,sungura,kumbikumbi.uyoga haijawai pita sku nisivione hivi vitu km kumbikumb huu msimu wa mvua ndo msimu wake wanakuepo wa kutosha.mkuu hadi senene huku kwetu mikoani bado wapo
Uko kwenu kama vipo basi elewa kunasehemu vimepungua au vimetoweka. Pia huko kwenu Nako vitatoweka soon.
 
Huu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi.
Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni.

Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani?

1. Mti aina ya STAFELI
2. POPO
3. MINYOO (Ile inaibuka mvua ikinyesha)
4. SUNGURA
5. KOBE
6. Miti ya Komamanga
7. Majani ya kuwasha jamii ya upupu.
8. Njiwa
9. Kumbikumbi
10. Uyoga
11. Tupe maoni yako
Mwongeze na Mbwa Mwitu, naye ni mnyama aliye hatarini kutoweka kwenye uso wa dunia kama jitihada za kumbakisha hazitazaa matunda.

Lakini, huwa nashangaa sana juu ya suala la kutoweka kwa mbwa mwitu, ambaye haliwi na hata hana pembe inayoweza kuwa biashara.

Tafsiri yake ni kwamba, kasi ya kufa kwake ni kubwa kuliko ya asili yake (maana yake wanauawa). Kwa maana kasi ya kufa haiendani na ile ya kuzaana.

Hivi ni wapi anakotowekea mnyama huyu?

Ova
 
Mbwa mwitu tunajuaje kama wanspotea kama sie dio game? Hao wanyana wa porini hatuna mahusiano nao sana kwa sababu wametengwa na jamii.
 
Mwongeze na Mbwa Mwitu, naye ni mnyama aliye hatarini kutoweka kwenye uso wa dunia kama jitihada za kumbakisha hazitazaa matunda.

Lakini, huwa nashangaa sana juu ya suala la kutoweka kwa mbwa mwitu, ambaye haliwi na hata hana pembe inayoweza kuwa biashara.

Tafsiri yake ni kwamba, kasi ya kufa kwake ni kubwa kuliko ya asili yake (maana yake wanauawa). Kwa maana kasi ya kufa haiendani na ile ya kuzaana.

Hivi ni wapi anakotowekea mnyama huyu?

Ova
Kwamba hujui wanakotowekea b…?

Ndugu zako upande wa dada wanajua zaidi. Lols
 
Huu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi.

Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni.

Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani?

1. Mti aina ya STAFELI
2. POPO
3. MINYOO (Ile inaibuka mvua ikinyesha)
4. SUNGURA
5. KOBE
6. Miti ya Komamanga
7. Majani ya kuwasha jamii ya upupu.
8. Njiwa
9. Kumbikumbi
10. Uyoga
11. Tupe maoni yako
Mti uliokuwa maarufu wakati wa krismasi, mkrismasi'
 
Kuna baadhi ya mikoa ni adui wakubwa wa Miti, na serikali inawaangalia tu, mapori yamegeuka kuwa jangwa hakuna miti.

Naishauri serikali watembelee mikoa yote nchini, vijijini mpaka mijini, aise kuna watu wanakata miti, narudia tena wanakata miti, tena mingi ni miti ya asili
 
Lol! Ndiyo wanakula wa hifadhi zote jamani? Umenichekesha sana b..., hadi nilitaka niseme maneno yote hapa. Dah!

Ova
Ipo siku yako tu b…, utasema yote mwenyewe!
Kama mimi tu siku zile!

Halafu ile sehemu yenu mnayosimamaga kula pale, kuwa makini.
Kuna historia pale, usijesema sikukuambia! Shauri yenu
 
Lols! Acha mengine tuongee kwenye PM basi. Na nimekumiss pia.

Ova
 
Back
Top Bottom