Utafiti binafsi: Wanyama na mimea vinavyotoweka kwa kasi hapa Tanzania

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,551
Huu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi.

Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni.

Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani?

1. Mti aina ya STAFELI
2. POPO
3. MINYOO (Ile inaibuka mvua ikinyesha)
4. SUNGURA
5. KOBE
6. Miti ya Komamanga
7. Majani ya kuwasha jamii ya upupu.
8. Njiwa
9. Kumbikumbi
10. Uyoga
11. Tupe maoni yako
 
Vipo ila ni nadra kuviona

Anyway namba saba imenikumbusha shule sekondari.mkojo umebana wenzangu wakaniachia mabegi wakaingia vichakani kukojoa kumbe Kuna upupu wakachuchumaa.kilichofata ni kugonga nyumba za watu kuomba majivu na bado kwenda kugombania daladala
 
Huu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi.
Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni.

Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani?

1. Mti aina ya STAFELI
2. POPO
3. MINYOO (Ile inaibuka mvua ikinyesha)
4. SUNGURA
5. KOBE
6. Miti ya Komamanga
7. Majani ya kuwasha jamii ya upupu.
8. Njiwa
9. Kumbikumbi
10. Uyoga
11. Tupe maoni yako
Naongezea mnyaaa na maua saa 6.
 
ha we! unaishi wapi. Upupu,njiwa,sungura,kumbikumbi.uyoga haijawai pita sku nisivione hivi vitu km kumbikumb huu msimu wa mvua ndo msimu wake wanakuepo wa kutosha.mkuu hadi senene huku kwetu mikoani bado wapo
 
Hyo #7 umenikumbusha enzi za ujana na Maisha ya shule tulipomwekea hayo majani mwalimu wa Hisabati,

Baada ya tukio ilikuwa ni kilio na kusaga meno tulijutia ujinga tulioufanya
 
ha we! unaishi wapi. Upupu,njiwa,sungura,kumbikumbi.uyoga haijawai pita sku nisivione hivi vitu km kumbikumb huu msimu wa mvua ndo msimu wake wanakuepo wa kutosha.mkuu hadi senene huku kwetu mikoani bado wapo
Uko kwenu kama vipo basi elewa kunasehemu vimepungua au vimetoweka.
 
Back
Top Bottom