Utafanyia nini Banda la Chuma Imara la futi 7x7?

sylver5

Member
Jul 22, 2013
20
19
Habari wanajamii na wapambanaji wenzangu,

Nimebahatika kupata banda la chuma kubwa (7x7) muundo wake ni ule wa kuwa na dirisha kubwa kwa mbele ambalo linafungukia juu hivyo nafasi ya kivuli ipo, pia kipande kinafunguka kwa chini na kutoa nafasi ya kuegamia; pia ndani kuna partition ndogo inayotosheleza kufanya biashara ya Mobile money.

Mnanishauri naweza fanya biashara gani ndani ya jiji letu hili la Dar es Salaam

NB: Pia nina freezer moja ya size ya kati
 
Sijawahi kuelewa watu wanaochukua mkopo na wanaotafuta nyenzo za biashara kamakukodi frem huku bado hawana wazo la nini wanaenda kufanya mara niyngi lazima ufail.
Ila mkuu kama vipi weka vinywaji baridi na maji ya jumla
 
Mkuu uza juice na maji tu mkuu saivi kiangazi kinarindima usiuuze takataka nyingine labda uongeze na vitafunwa, kama sambusa, bagia, kachori, cake, n.k baada ya kufanya hivo huwezi jutia. maisha ndio haya haya bongo amna maisha mengine.
 
Kama unaliuza niambie litanifaa sana kwa shughuli zangu Kama umeona hujui ufanyie nini.
 
Habari wanajamii na wapambanaji wenzangu,

Nimebahatika kupata banda la chuma kubwa (7x7) muundo wake ni ule wa kuwa na dirisha kubwa kwa mbele ambalo linafungukia juu hivyo nafasi ya kivuli ipo, pia kipande kinafunguka kwa chini na kutoa nafasi ya kuegamia; pia ndani kuna partition ndogo inayotosheleza kufanya biashara ya Mobile money.

Mnanishauri naweza fanya biashara gani ndani ya jiji letu hili la Dar es Salaam

NB: Pia nina freezer moja ya size ya kati
Kama vipi weka picha itapendeza zaidi.
 
Thread yako ina majibu ya swali unalotuuliza,umejijibu mwenyewe.

hivi ushasema una freezer unafkiri utashauriwa hilo freezer uweke nguo?

ushasema kuna ki partition cha mobile money,what else do you want from us Chief Inspector?
 
Weka kwenye mzunguko wa watu mfano vituo daladala zinapoishia kisha uza juice, soda, maji na bites utaiona pesa.
 
Habari wanajamii na wapambanaji wenzangu,

Nimebahatika kupata banda la chuma kubwa (7x7) muundo wake ni ule wa kuwa na dirisha kubwa kwa mbele ambalo linafungukia juu hivyo nafasi ya kivuli ipo, pia kipande kinafunguka kwa chini na kutoa nafasi ya kuegamia; pia ndani kuna partition ndogo inayotosheleza kufanya biashara ya Mobile money.

Mnanishauri naweza fanya biashara gani ndani ya jiji letu hili la Dar es Salaam

NB: Pia nina freezer moja ya size ya kati
NATAFUTA BANDA LA CHUMA 7×7 AU 6×7
 
Back
Top Bottom