Utafanyaje?

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Ikiwa demu alokunywea bia zako bar anapotea katika mazingira ya kutatanisha... akiwa amekomba simu zako zote(ambazo zina washirika wako kikazi na data muhimu) na wakati huohuo watarajia simu kutoka kwa mai waifu wako..?

Na wateja wote wanamjua huyo dem na wanakuchora jinsi ulivokuwa waingizwa mjini?!!!
 
utafanyaje sasa.... yaani subhana llah,,, ndio mkaambiwa mtulie na wake zenu,,,, hamsikii mi wala siwaonei huruma hata siku moja,,,,
 
ndo ukome
umelipia STAREHE YAKO.
akuna cha ufanyeje kuwa mpole na ujirekebshe tabia na si ufanyeje juu ya mdada kukushikisha adabu
 
ndo ukome
umelipia STAREHE YAKO.
akuna cha ufanyeje kuwa mpole na ujirekebshe tabia na si ufanyeje juu ya mdada kukushikisha adabu
hahahahaaaa.... imemkuta jamaa yangu mwaka mpya.... alikuwa mbogo si mchezo.... mie huku nashika mbavu kwa kicheko... hofu mkewe asipige simu kwa wati huo ilishatimu saa tano nyt...!!! alichimba biti mabaa medi hadi mwizi wake na simu zikapatikana!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom